Nimemlipa kwa aliyonifanyia nimeridhika

Nimemlipa kwa aliyonifanyia nimeridhika

Hivi maumivu ya kumegewa tena na rafiki yako wa karibu unayajua?

Duh pole sana kwa yaliyo kupata,Lakini unaweza dhani umemkomoa kumbe umejikomoa!!!!!
 
Duh!!!! hii kweli ni dawa ya moto ni moto........

kisasi heavy ila mwisho wake nahisi utaku mbaya mno.
 
Hahaha....m nkajua mtu akioa akil zinakua za kiutu uzima kumbe loooh...au uliozeshwa kwa lazima!!!..ngja jamaa agundue aje akugegede ww sasa!

Wat a boflo mind!!!
 
Acha utoto wewe hakuna unalolijua endelea na masomo ukimaliza anza kutafuta pesa then uje mtaani ujue nini maana ya kukua kiakili

Hahaha....m nkajua mtu akioa akil zinakua za kiutu uzima kumbe loooh...au uliozeshwa kwa lazima!!!..ngja jamaa agundue aje akugegede ww sasa!

Wat a boflo mind!!!
 
Mpaka hapo atatia akili kidogo nime dilute uzi wake. Utter nonsense.

Thanks nitamwambia hubby aende Shimoni.

Be blessed.

Thank you dear,yaan much respect!!!!!!! Si umeona mwenyewe ndani ya penalt box ntu kaingia nkapiga bao la kisigino kama Ronald,hapana chezeiya wewe kwenye hizi mambo za dilution,you are a great chemist!!!
 
Acha utoto wewe hakuna unalolijua endelea na masomo ukimaliza anza kutafuta pesa then uje mtaani ujue nini maana ya kukua kiakili

Nimeshajua kukua kiakil ni rafiki ako akikugegedea mke wako wewe unamgegeda ad mama mkwe wake....km na ww ulimaliza shule et ndo uko mtaan bas n aibu kwa taifa!!!..

Unafikiri kwa kurud nyuma loooh.....ata mdogo angu wa darasa la 3 ukamuadisia mkasa uo atakuona boza....
 
Akili yako hiyo.

Thank you dear,yaan much respect!!!!!!! Si umeona mwenyewe ndani ya penalt box ntu kaingia nkapiga bao la kisigino kama Ronald,hapana chezeiya wewe kwenye hizi mambo za dilution,you are a great chemist!!!
 
Kumbe mdogo wako anaitwa boza? Haya msalimie sana huyo Boza wenu

Nimeshajua kukua kiakil ni rafiki ako akikugegedea mke wako wewe unamgegeda ad mama mkwe wake....km na ww ulimaliza shule et ndo uko mtaan bas n aibu kwa taifa!!!..

Unafikiri kwa kurud nyuma loooh.....ata mdogo angu wa darasa la 3 ukamuadisia mkasa uo atakuona boza....
 
sidhani kama ipo furaha moyoni mwako hata kama umemgegedea.haipotez ukweli kuwa akimgegeda mkeo.samehe upate furaha moyon
 
Umeona eeeeeeeeh?? Ni tamu jamani!!,nawe huwa unazipenda??

Thnx Karucee hapana chezeiyaa ww!!

Kwa kweli sipendi kudanganya.

Hizi mi hapana iko jua but nimempigia hubby anitafutie kwenye maduka ya bakhressa.

lols.

Nimekumbuka when I was pregnant, kuna mtu alipostigi picha ya kashta zile za maziwa na sukari FB.

Mbona ilibidi nitafute recipe nipike kashata usiku usiku.

Wala hazikukauka niliishia kuzimwaga.
 
Back
Top Bottom