Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.
Sijui Uchumi nitapata?
Natamani kweli.
Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.
Please nielekeze Kariakoo duka lipi?
Sijaenda church mieee.
Nolaka totire muresi
Haka katoto kwa kutunga vistori hakajambo kwakweli
tatizo niko shallow kuelekeza mtu,naweza kujaza thread na usiwe umeelewa,ila kuna maduka fulani ya vyakula pale karibu na shimon,pia mcheki bakhressa kwenye maduka yao ya azam huwa na sausage aina tofauti tofauti,mie huzipenda za peramiho najiseviaga supermarket za jeshi.
Nilifikiri umeenda chach utupe neno la leo maana huu uzi majanga.
Kali sana hii wewe ni zaidi ya bazazi
Hizo hizo farmers choice but not the long thin type precooked ones, no. Hizi ni nene fupi. Sio hizi Vienna zimejaa mtaani.
Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.
Sijui Uchumi nitapata?
Natamani kweli.
Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.
noma sana arovera umetisha sasa mtafutie huyo jamaa watu wamle kiboga kabisaaa mheshimiane mojini
tatizo niko shallow kuelekeza mtu,naweza kujaza thread na usiwe umeelewa,ila kuna maduka fulani ya vyakula pale karibu na shimon,pia mcheki bakhressa kwenye maduka yao ya azam huwa na sausage aina tofauti tofauti,mie huzipenda za peramiho najiseviaga supermarket za jeshi.
Nilifikiri umeenda chach utupe neno la leo maana huu uzi majanga.
Nimecheka sana kwa hii comment yako.Kiasi flan naungana na Arovera,kuna watu wanatutendea vibaya.kibaya zaidi sheria ziko hafifu sana na mambo ya mahusiano. Hata mim ningegfanya hivyo hivyo tena ningeanza na mamake.
Hapa roho yangu nyeupeeeee kama theruju napiga mama na mwana na housegirl mwaka huu wangu kwa kweli daaaah
Hongera.
Hadithi yako inatufundisha nini?
Akiendelea lazima aliwe kweli sio mchezo jamaa yangu
Hapa roho yangu nyeupeeeee kama theruju napiga mama na mwana na housegirl mwaka huu wangu kwa kweli daaaah