Nimemlipa kwa aliyonifanyia nimeridhika

Nimemlipa kwa aliyonifanyia nimeridhika

umeshindwa kutatua matatizo. unadhani kwa kufanya hivyo umefuta ukweli uliokwisha tokea? ulipizaji wa kisasi unaongeza uhasama

Kwa hiyo akijua kuwa umemla mpaka mwanae nae amle mwanao au?

Kumbuka :hasira hazimalizi changamoto za kimaisha, bali huongezaidadi ya changamoto
1.Punguza hasira ( wale ni wanadamu, wanakosea nawe pia kama mwanadamu umekosea mengi)
2.Jitathmini wewe binafsi ni wapi umekosea ,(je ni kutokumridhisha mkeo, je ni ugomvi usioisha, je ni nini ?
3.ongea na mkeo akuambie sababu ya mchepuko then nendeni kwa wataalamu wa afya mkapime afya zenu.
4.Inauma sana but Samehe,Samehe, Samehe
5.Anzeni tena maisha mapya yenye furaha
Dhumuni la kuoana lilikuwa ni kuishi maisha yenye furaha tele , kufarijiana na kusaidiana majukumu, sio kuonyeshana bingwa wa michepuko
Je sisi wanadamu tuna mkosea mangapi muumba wetuuuuuuu! ingekuwa anatulipizia kila baya tunalotenda ingekuwaje?

KUMBUKA: UKIACHA NJIA KUU NA KUCHEPUKA, UKIRUDI LAZIMA URUDI NA TOPE.
So tafuteni muda wa kujadili ,kila mmoja amweleze mwenzake anavyopenda kufanyiwa ili awe na furaha muwapo pamoja then tulizaneni mle maisha.

Huu ni mtazamo wangu
 
Jamani kweli niliambiwa nikuwe niyaone maghorofa ya matope posta na kweli nimeyaona
 
Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.

Sijui Uchumi nitapata?

Natamani kweli.

Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.

Hahahaah Karucee nawe, hii coment haiendani kbs na topic! Why caned bana? Get fresh one, yani huku kwenye maGMo tunawish kupata fresh afu huko kwenye fresh nako mnataka hizi caned food!?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaah Karucee nawe, hii coment haiendani kbs na topic! Why caned bana? Get fresh one, yani huku kwenye maGMo tunawish kupata fresh afu huko kwenye fresh nako mnataka hizi caned food!?

Nadhani sio msimu hun.

Kuna chunks za Del Monte we acha tu.🙂
 
Wanajamvi hbr za wakati huu?

Jamani ukweli nimekamilisha azma yangu sasa. Iko hivi nina rafiki yangu wa kushibana sana na ninashirikiana nae mambo mengi sana kumbe bila kujua jamaa alikua anamgegeda mke wangu.

Na hii nimeigundua two years sasa kila nikiweka mtego hauwanasi sasa nikajipanga na mimi nimmegee mke wake nimeimbisha sana sasa siku hizi namgegeda mke wake, nagegeda binti yake wakuzaa wa kwanza na housegirl nimempata jana sasa sina ugomvi nae dawa ya moto ni moto ukila vya wenzio ujue na vyako vitaliwa tu.

Ovyoooo
 
mmmmmmmmmhhhhhhhhhhh nimeishiwa pozi inatiasha.....Kama ni miwaya ya mke umeipata, kama ni miwaya ya mtoto umeipata, ya house girl umeipata....

Why usile huyo mke tuu mtoto ukamuacha....mmmmhhhh Unamkomoa kumbe unajikomoa na wewe
 
Wanajamvi hbr za wakati huu?

Jamani ukweli nimekamilisha azma yangu sasa. Iko hivi nina rafiki yangu wa kushibana sana na ninashirikiana nae mambo mengi sana kumbe bila kujua jamaa alikua anamgegeda mke wangu.

Na hii nimeigundua two years sasa kila nikiweka mtego hauwanasi sasa nikajipanga na mimi nimmegee mke wake nimeimbisha sana sasa siku hizi namgegeda mke wake, nagegeda binti yake wakuzaa wa kwanza na housegirl nimempata jana sasa sina ugomvi nae dawa ya moto ni moto ukila vya wenzio ujue na vyako vitaliwa tu.

JF kituko, wewe utakuwa mzee wa miaka hata 50 unafanya vitu vya kukurupuka? Je una uhakika gani? Kama hukuweza kuwakamata mpaka leo ujue ni fitina watu hawapendi ushirikiano na rafiki yako!
 
Wanajamvi hbr za wakati huu?

Jamani ukweli nimekamilisha azma yangu sasa. Iko hivi nina rafiki yangu wa kushibana sana na ninashirikiana nae mambo mengi sana kumbe bila kujua jamaa alikua anamgegeda mke wangu.

Na hii nimeigundua two years sasa kila nikiweka mtego hauwanasi sasa nikajipanga na mimi nimmegee mke wake nimeimbisha sana sasa siku hizi namgegeda mke wake, nagegeda binti yake wakuzaa wa kwanza na housegirl nimempata jana sasa sina ugomvi nae dawa ya moto ni moto ukila vya wenzio ujue na vyako vitaliwa tu.

We mkali mzee
 
naona mkuu umeingilia kazi isiyo yako kwani kama umesalitiwa anayetakiwa kudeal na huyo msaliti wako ni Mwenyezi Mungu ila wewe naona umejichukulia mamlaka mwenyewe...okayyyy hongera sana kwa kuwa na amani na roho nyeupeee kama unavyodai...
 
Wanajamvi hbr za wakati huu?

Jamani ukweli nimekamilisha azma yangu sasa. Iko hivi nina rafiki yangu wa kushibana sana na ninashirikiana nae mambo mengi sana kumbe bila kujua jamaa alikua anamgegeda mke wangu.

Na hii nimeigundua two years sasa kila nikiweka mtego hauwanasi sasa nikajipanga na mimi nimmegee mke wake nimeimbisha sana sasa siku hizi namgegeda mke wake, nagegeda binti yake wakuzaa wa kwanza na housegirl nimempata jana sasa sina ugomvi nae dawa ya moto ni moto ukila vya wenzio ujue na vyako vitaliwa tu.

Hapo ndio mwisho wa ufahamu wako eeh? umepata nini ndani yake? umejiona mwanamme sana au umekua na 2 au ndio jazba yako imekwisha na wewe utakua unawamega wote hao na yeye anaendelea kumega mkeo na hujui kama na dadako au sijui na nani wako tena,ebu kua Mwanamme mwenye hekma na busara na hapo bado huja tatua jambo naona ndio umezidishaaaaaa fikiri tena..........
 
Back
Top Bottom