Nimemlipa kwa aliyonifanyia nimeridhika

Nimemlipa kwa aliyonifanyia nimeridhika

Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.

Sijui Uchumi nitapata?

Natamani kweli.

Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.

Karucee njoo kwetu mabwepande kuna shopping mall mpya kabisa imefunguliwa.
 
Last edited by a moderator:
Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.

Sijui Uchumi nitapata?

Natamani kweli.

Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.

Umesharudi from kibamia?
 
Kiasi flan naungana na Arovera,kuna watu wanatutendea vibaya.kibaya zaidi sheria ziko hafifu sana na mambo ya mahusiano. Hata mim ningegfanya hivyo hivyo tena ningeanza na mamake.
 
Ilikua inaniuma kinoma hapa watu wanaongea tu hawajui maumivu niliyoyapata kwa wife kucheat ndani ya ndoa

Il
Kiasi flan naungana na Arovera,kuna watu wanatutendea vibaya.kibaya zaidi sheria ziko hafifu sana na mambo ya mahusiano. Hata mim ningegfanya hivyo hivyo tena ningeanza na mamake.
 
Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.

Sijui Uchumi nitapata?

Natamani kweli.

Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.

vyote uchumi utapata,kama vipi nyoosha tu kko,vp leo church umeenda?
 
Mwisho ni risasi na story inaisha hvo

Wakale walituasa wakati tukijinuiza kulipiza visasi tuchimbe makaburi mawili...just in case! Unaweza kujisifu kumbe adui wako anakuona kiroboto tu...hongera kwa uzinifu by then..
 
farmers choice kwa sausages ni nzuri kama ulikula mbaya basi hazikua zimegandishwa kama muda unyoeleza

au sausage za aina gani unaongelea mamii
Hizo hizo farmers choice but not the long thin type precooked ones, no. Hizi ni nene fupi. Sio hizi Vienna zimejaa mtaani.
 
Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.

Sijui Uchumi nitapata?

Natamani kweli.

Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.

Ukizipata uchumi nishtue
 
inaonekana ulikuwa na hasira ya kulipa kisasi,hukutatua linda kabisa?
 
Back
Top Bottom