Nimemkuta na tattoo


Swali dogo.ulikuwa unatafuta nini huko nyuma mpaka ukaona hiyo tatoo ukahesabu na tatoo kwamba ziko tano.maana umeanza kumsifia kwamba amejariwa.

Huyo naye anakushangaa wewe alikuwa hakutegemei pia
 
Kama umeridhika na Tabia endelea nae ujue vitu vingine vinakujaga km hulka tu usimuhukumu moja kwa moja

aah mkuu, angeridhika na tabia angeleta uzi wenye sifa nzuri tu kwa mpenzi wake. Kwani kuchora tatoo sio tabia?
 
kuchora tatoo pia ni tabia. Jamaa yetu ameleta hapa tujadili kuwa ni tabia nzuri au mbaya, bila shaka haya ndiyo maudhui ya uzi huu, .ametumia tu lugha ya picha (katika tukio la kweli) kwa ajili ya kuupamba uzi.
 
Najitahidi leo nilete picha ake hapa iwe bora zaid wandgu
 
Wewe ni ke Au me?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…