Nimemkuta na tattoo

Khaaaaah!! Kwahiyo yuko chakari ukamwambia "baby subiri kwanza niombe ushauri jf kuhusu hizi tatoo"[emoji134][emoji134]
 
Huyu n modo kdgo karefu wastan,ananyoa amebarikiwa kimtindo Makalio
Bwana hakuna ushauri wa maana utaupata hapa. Mimi binafsi naona utumie busara zako ulizopewa na muumba wako. Kama kaweka tu tattoo na unaona ni mwenye tabia nzuri wewe ndiye mjuaji. Kama amesema hajachepuka na mkweli siku zote wewe ndiye muamuaji. Ukisikia ya watu watakuchanganya
 
Sijaelewa hapo "Japo me and my girl "
 
Kuna demu nilimkula ana tattoo ya nyota kalioni ya kwanza kuwa zinapungua ukubwa mpk ya mwisho ni ndogo nahisi kama ndio huyu anayeongelewa hapa
 
Umemkuta na tatoo, kha! Siku nyingine bora ungeomba ushauri "jinsi ya kuifuta hiyo tatoo" ningekuelewa.
 
Kuna demu nilimkula ana tattoo ya nyota kalioni ya kwanza kuwa zinapungua ukubwa mpk ya mwisho ni ndogo nahisi kama ndio huyu anayeongelewa hapa
Aaah Braza Hapana
 
Sasa unachora tatuuuu makalioni aione nani? Mimi namjua mbabu mmoja mtaalamu wa tatuu akishamkula demu anamuweka tatuu ya nyota tano katika kalio moja.. Mkiwa maskani ukibisha hajamla anakwbia kama nawe umepita je hana tatuu ya nyota tano kalioni?
 
Duh! Mkuu huyo babu n wawap?
 
We ndio mwenye maamuzi wa kuifuta au kutoifuta,akikataa we endelea kuchapa tu lakini asiwe mke
 
Hahaaa...sijui yara yara yara...umenena vyema Chifu
 
Wewe kama umemuelewa oa. Mwanamke yeyote ukimkuta hana bikra ujue keshatumika. Ukimuacha huyo, labda upate mwenye bikra.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…