King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,000
- 677
Hata kidini tattoo
haikubaliki
haikubaliki
Hapana wapo wengi tu wanaojiheshimu na wamechora tattoo. Acheni kukariri mambo
Mkuu, ukitafakari vizuri hayo maneno yako kuna kaukweli flani kanakouma. Nianze tu kuoa demu wa dizaini hiyo, labda nina kicha kabisa au wanawake wawe wameisha kabisa.Tatizo hapo ni zile hisia kwamba mchoraji alikuwa amekaa style gani, je kila wakati anailamba au? Vidole je? Au alikuwa anazamisha mkuyenge every after 1 mm length of the totoo? je aliichora kwa muda gani?
Absolutely!Achana naye haraka sana. Dalili ya mvua ni manyunyu.
Tattoo kwa mwanamke ni alama za kimalaya kimalaya. Kwani uhangaike kuoa mtu aliyepitia kwenye umalaya kama wewe hupendi malaya?
Wasichana warembo wazuri tena wabichi kabisa wapo wengi mtaani, tafuta mwingine uoe. Huyo wa sasa waachie wanaume wapenda malaya nao waoe.
Mkuu ulikua una tafuta nini huko sehemu mbayaWakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....
Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.
Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..
Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?
Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....
Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....
Kuna ambae kakutana na haya?
kwani ulimkuta bikra aisee? kama alichorwa unafikiri ndio atakuwa hakuwa anafumuliwa kabla hamjakutana?Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....
Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.
Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..
Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?
Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....
Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....
Kuna ambae kakutana na haya?
Bora huyo kachora tatoo ila kuna wengine wanaigiza maisha ila si watu wazuri, asifanye maisha kuwa magumu yeye aoe tu wengine wameolewa na hawana tatoo ila maisha yamewashindaSasabhiyo tatoo inakusumbua nini?
Inazuia dushe lisiingie au ina meno inauma?
Mbona mnapenda kufanya maisha yenu kuwa magumu bila sababu za msingi??
Hata ningekuwa mm nikute tattoo kwenye ziwa tako pajan na ghairi.Unaoa tattoo au unaoa mwanamke
Blah blah za wasio waoaji izo
Baba huyo ni slay queen. Funga mjadala. Maisha yaendeleee