Nimemkuta Kachora Tattoo sehem mbaya sana!!

Spiritually (kikristo) mtu anapochora tatoo anaingia kwenye covenant au agano ambalo linamfanya tabia na mwenendo wake ziendane agano aliloingia kwa kujua au kutokujua na ndiyo sababu mtu mwenye tatoo lazima atahakikisha inaonekana popote ilipo, hata mavazi yake atavaa yanayoonesha tatoo hata kama ipo kwenye t*ko.
Bahati mbaya wengi huchukulia kuwa ni kawaida hivyo hawachukua hatua ya kuombewa na kuvunja covenant. Ndiyo maana hata wanaokupa maoni wanakupa kwa kuchukulia kirahisi tu, jaribu kutafakari mtu ana ujasiri gani wa kutulia nankuchora tatoo karibu kabisa na sehemu za siri?

Sababu wewe ndo unamfahamu unaweza kuamua chochote ila una haki ya kufikiri mara mbili juu ya uhusiano wako haswaa mahusiano yenu na Mungu. Vinginevyo, utaikumbuka hii post.
Heko hekimanyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Huyo ni demu flani mwenye asili ya kitusi anasoma form 6 na wewe mleta uzi ni mwalimu wa shuleni kwao maana mie ndiye nilikuwaga namtafuna nikamchora hiyo tatoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spiritually (kikristo) mtu anapochora tatoo anaingia kwenye covenant au agano ambalo linamfanya tabia na mwenendo wake ziendane agano aliloingia kwa kujua au kutokujua na ndiyo sababu mtu mwenye tatoo lazima atahakikisha inaonekana popote ilipo, hata mavazi yake atavaa yanayoonesha tatoo hata kama ipo kwenye t*ko.
Bahati mbaya wengi huchukulia kuwa ni kawaida hivyo hawachukua hatua ya kuombewa na kuvunja covenant. Ndiyo maana hata wanaokupa maoni wanakupa kwa kuchukulia kirahisi tu, jaribu kutafakari mtu ana ujasiri gani wa kutulia nankuchora tatoo karibu kabisa na sehemu za siri?

Sababu wewe ndo unamfahamu unaweza kuamua chochote ila una haki ya kufikiri mara mbili juu ya uhusiano wako haswaa mahusiano yenu na Mungu. Vinginevyo, utaikumbuka hii post.
Hakuna kitu kama hicho kuhusu agano, ni wewe unavyo jifikiria na tatoo haina maana yoyote zaidi ya urembo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Hata mimi nilikutana nae huyo huyo ila sikuwa na mpango wa kumwoa. Wala sikuuliza kachorwa na nani hiyo LOVE tattoo kwani hakuwa bikra.

Ukikuta demu sio bikra ujue kuna waliokutangulia, sasa itakuwa tatoo mkuu. Wewe oa mke ikiwa ana sifa unazotaka, mengine historia.
 
Spiritually (kikristo) mtu anapochora tatoo anaingia kwenye covenant au agano ambalo linamfanya tabia na mwenendo wake ziendane agano aliloingia kwa kujua au kutokujua na ndiyo sababu mtu mwenye tatoo lazima atahakikisha inaonekana popote ilipo, hata mavazi yake atavaa yanayoonesha tatoo hata kama ipo kwenye t*ko.
Bahati mbaya wengi huchukulia kuwa ni kawaida hivyo hawachukua hatua ya kuombewa na kuvunja covenant. Ndiyo maana hata wanaokupa maoni wanakupa kwa kuchukulia kirahisi tu, jaribu kutafakari mtu ana ujasiri gani wa kutulia nankuchora tatoo karibu kabisa na sehemu za siri?

Sababu wewe ndo unamfahamu unaweza kuamua chochote ila una haki ya kufikiri mara mbili juu ya uhusiano wako haswaa mahusiano yenu na Mungu. Vinginevyo, utaikumbuka hii post.

UMENENA KI UKWELI NA WAONA WENGI TU
 
.....
..... Mkuu heshima kwako
 
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?

Weka picha Hiyo sehemu mbaya tuone je? ni kweli ni sehemu Mbaya
 
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....

Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.

Ni hivi, huyu manzi kachora Tattoo ya love [emoji3590] kwenye paja karibu na papuch kabisaa..

Baada ya game nilimwuliza nani alimchora na kwann alichora sehem hiyo?

Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Kwani kiongozi wa kwanza wewe kumla mzigo kama sivyo basi ina maana kuna mtu aliwai kumvua hadi kyupi, so we endelea tu na taratibu zingine
 
Aliniambia alichorwa na mpenzi wake kipinndi hiko ni slay queen, na alikuwa kalewaaa....

Kiukweli, nilitaka nimuoe mwakan ila sasa hili linanisumbua....

Kuna ambae kakutana na haya?
Kwani hapo kuna tofauti gani na kumkuta hana bikira?! Si ni kwamba unaona mchoraji lazima alikula mzigo; au?! Sasa si ndo maana hukumkuta na bikira; si ndiyo?! What's the difference?!

Mi nikadhani alikuwa demu wako kitambu na alikuwa hana hiyo tatoo lakini mara ghafla ukakutana na tatoo below the origin!

Ngoja nikutoe wasiwasi! Huyo demu wewe ndio bwana wake wa pili, na wa kwanza ndio huyo ambae kamchora tatoo!!! Kuna tatizo?! Akienda kumpa tena sio kwa sababu alimchora tatoo below the origin bali kwa sababu alishawahi kumkula hapo kitambo! Hulijui hili?! Ina maana hata kama asingemchora hiyo tattoo bado angeweza kumpa! Issue kama hizo si zinatokeaga, au?!
 
Kuna uzi humu unasema Asilimia 90 ya wadada wenye Tatto wanaliwa TIGO,

Tunaomba mrejesho kwenye mchangio wa research yetu
 
Back
Top Bottom