U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,563 Reaction score 1,393 Feb 15, 2016 #2 Mshikaki wa watu8 toba
kenshi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,976 Reaction score 1,975 Feb 16, 2016 #3 duu watoto wanafuraha lakini baba anajua anavunja sheria.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Feb 16, 2016 Thread starter #4 kenshi said: duu watoto wanafuraha lakini baba anajua anavunja sheria. Click to expand... Watu 8 anahusika
kenshi said: duu watoto wanafuraha lakini baba anajua anavunja sheria. Click to expand... Watu 8 anahusika
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Feb 16, 2016 #5 Daddy Watu8 unaitwa huku.... Miss you daddy.....
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,683 Feb 16, 2016 #6 Watu8 u r missed
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,650 Feb 16, 2016 #7 Watu8 sijamsoma mda mrefuuuuu
habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,788 Reaction score 8,755 Feb 16, 2016 #8 Nilisoma pahala humu kwa hayupo duniani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Feb 17, 2016 Thread starter #9 habari ya hapa said: Nilisoma pahala humu kwa hayupo duniani Click to expand... Mmh lini? Kweli?
Mlandege JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 1,201 Reaction score 585 Feb 17, 2016 #10 habari ya hapa said: Nilisoma pahala humu kwa hayupo duniani Click to expand... Mmmhh
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Feb 17, 2016 #11 Kuna watu humu wame dis appear sijui wametumbuliwa majipuuu na maguu, mmoja ni huyu watu8 nshamuita weeh hadi nimechoka, mwingine ni BAK na Tized akinyemelewa na mentali Mentor
Kuna watu humu wame dis appear sijui wametumbuliwa majipuuu na maguu, mmoja ni huyu watu8 nshamuita weeh hadi nimechoka, mwingine ni BAK na Tized akinyemelewa na mentali Mentor
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 6,003 Feb 17, 2016 #12 Ata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo tu basi.
wembeee JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 2,708 Reaction score 1,362 Feb 17, 2016 #13 Kuna nyuzi flan nilimuona akichart na m beby flan khs hbr za kuzushiwa kifo
Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,788 Feb 17, 2016 #14 mshana jr said: Mmh lini? Kweli? Click to expand... Si kweli,nilimsoma majuzi kati kule jukwaa la wakubwa.
mshana jr said: Mmh lini? Kweli? Click to expand... Si kweli,nilimsoma majuzi kati kule jukwaa la wakubwa.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Feb 17, 2016 Thread starter #15 Patience123 said: Si kweli,nilimsoma majuzi kati kule jukwaa la wakubwa. Click to expand... Duu afadhali
Patience123 said: Si kweli,nilimsoma majuzi kati kule jukwaa la wakubwa. Click to expand... Duu afadhali
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Feb 17, 2016 #16 mshana jr said: Duu afadhali Click to expand... Wajameni tafadhali msimzushie daddy etu kifooo... yu buheri wa afya tele. C.c. ladyfurahia
mshana jr said: Duu afadhali Click to expand... Wajameni tafadhali msimzushie daddy etu kifooo... yu buheri wa afya tele. C.c. ladyfurahia
Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,788 Feb 17, 2016 #17 charminglady said: Wajameni tafadhali msimzushie daddy etu kifooo... yu buheri wa afya tele. C.c. ladyfurahia Click to expand... Sijui huyo mdau amewaza nn? Pengine atutag hiyo post iliyomzushia kifo Watu8
charminglady said: Wajameni tafadhali msimzushie daddy etu kifooo... yu buheri wa afya tele. C.c. ladyfurahia Click to expand... Sijui huyo mdau amewaza nn? Pengine atutag hiyo post iliyomzushia kifo Watu8
kajembejr JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 1,291 Reaction score 1,321 Feb 17, 2016 #18 school motorbike
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,335 Reaction score 23,951 Feb 17, 2016 #19 Huyu jamaa ni jirani yangu hapa kazini ila simuonagi kabisa aisee...!
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Feb 17, 2016 #20 Mentor said: Huyu jamaa ni jirani yangu hapa kazini ila simuonagi kabisa aisee...! Click to expand... U cant be serious aisee... Henu nenda kwa Balozi wa nyumba kumi ukachukue maelezo... Labda aliaga kuwa aenda ushagoo....
Mentor said: Huyu jamaa ni jirani yangu hapa kazini ila simuonagi kabisa aisee...! Click to expand... U cant be serious aisee... Henu nenda kwa Balozi wa nyumba kumi ukachukue maelezo... Labda aliaga kuwa aenda ushagoo....