NImemkumbuka sana rafiki yangu Mwl.Chalamila (RIP)

NImemkumbuka sana rafiki yangu Mwl.Chalamila (RIP)

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,683
Reaction score
14,066
Huyu Mwalimu alikuwa muungwana sana,,,,ndio maana siku zote naamini mtu mwema huwa anaishi kwenye fikra na mioyo ya watu daima.

Kwa kifupi tulifurahia sana maisha ya ujana tofauti na mimi yeye alikuwa siyo mtu wa kinywaji zake gahwa na fegi,

Alikuwa ni mwenyeji wangu kila nilipokuwa nafika Mwanza,,,kwa wakati huo alikuwa anafundisha Lake...

Miaka ya zamani tulikuwa na trip nyingi za Mwanza,safari ilikuwa ni ngumu kweli kweli kutokana na hali za barabara...na kwa miaka hiyo mambo ya guest haikuwa fashion kama miaka hii,,,,sehemu yeyote ugenini tulikuwa tunafikia kwa ndugu jamaa au marafiki,,,,,,,

Mara ya mwisho nilionana nae Iringa alikuwa anafundisha shule ya Highlands Secondary.........
 
Back
Top Bottom