Nimemkumbuka mpenzi wangu wa shuleni

Kwa Mara ya kwanza ninaelewa uzi wako tangunianze kusoma nyuzi na comment zako leo umeandika vizuri sana uko nyuma shida ilikuwa nini mpaka kushindwa kuandika vizuri?
Sikuwa nimetulia aisee kipindi hicho sitaki kikumbuka bado humu giza , visa , yaani acha tu maisha ndio yalikuwa hivyoo ila kwa sasa napata hiyo hiyo hiyo
 
Sikuwa nimetulia aisee kipindi hicho sitaki kikumbuka bado humu giza , visa , yaani acha tu maisha ndio yalikuwa hivyoo ila kwa sasa napata hiyo hiyo hiyo
Nimekupata vizuri sana samahani lakini kama utajali upo kwenye umri gani 20s, 30s au 40s?
 
Ndio ni mtu mmoja kuna shida
Hamna shida mama la mama ila uwe unasema mapema unajua mi nilikuwa katika process ya kuichombeza ile id yako ya Unique Flower kumbe ni wewe

Huoni Unatuchanganya sasa basi nitaendelea kukuchombeza wewe

Si unajua mi napenda wanawake wa kimasai na kikenya wanawake wasiojua kiswahili vizuri ile accent yao inanidatisha
 
Duu mkuu unapenda mtu kwa muandiko kweli moyo unamambo ya kifala sana
 
Hamna shida mama la mama ila uwe unasema mapema unajua mi nilikuwa katika process ya kuichombeza ile id yako ya Unique Flower kumbe ni wewe

Huoni Unatuchanganya sasa basi nitaendelea kukuchombeza wewe

Si unajua mi napenda wanawake wa kimasai na kikenya wanawake wasiojua kiswahili vizuri ile accent yao inanidatisha
Karibu sana mwaya ila ujue mimi nimeolewa kabisa
 
Nimekumiss wangu sana zamani tulipokuwa tunaandikiana barua za upendo kama hizi,
Uhali gani mpenzi ,
Tokea mchana sijakuona ,
Umeshindaje,,,,, wangu .

Moyo wangu ulikuwa mzigo na wasiwasi wangu ni hadi nikuone wewe,moyo wangu ni mwepesi pale nilipokuona wewe , mzigo uliokuwa moyoni umeutua baada ya kusikia sauti yako .
Busu lako ndio faraja yangu, ukinikumbatia mwili wangu huchangamka na kuwa maridadi shuleni nafurahia masomo na mara ingine nakutaja wewe.

Je wakumbuka nilivyoadhibiwa kisa wewe??
Je unakumbuka nilikubali adhabu ya kuchimba kisiki kisa mwalimu alifuma barua yetu.
Katoto kazuri nakupenda sana natamani uwe mke wangu ukubwani.
Nishirikiane nawewe kulea watoto wetu kwa furaha .

Una Macho ya kurembua na kudunduliza mpenzi wewe unanipaga raha sana napagawa.

Marashi yako yananifanya niote niko bustanini nawewe tukisikia harufu za maua mbalimbali yaliyomo bustanini.

Cheko lako lanipa raha pale nisikiapo lanifariji kiasi cha mimi kuendelea kusikia sauti yako.

Kwani sauti yako ni nyoronyoro na humtoa nyoka pangoni.

Katoto kazuri nakupenda sana.....
I love u chukua ua hilo ndani ya hii barua kila unusapo ujue nakupenda .

Je yako ilikuwaje??
Tuambie kwa maana nimemmis sana huyu kaka aisee alikuwa one of the kind .......😍😘😘😘😘🤩🤩 Musah

Dedication hii kwake jamani

Mwanaume mzima unajiita katoto kazuri! Pumbavu kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom