I need you my love

I need you my love

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Nikikutazama roho yaniuma naweweseka kutokuona kabisa.
Nakuota mpenzi wangu nakuhitaji laaziz wangu nakupenda mpenzi wangu usiku nakuwaza hadi napata homa.

Tukigombana napatwa na presha nasina hamu yakula wala kunywa .
Nakosa usingizi kisa wewe mpenzi .
Nakupenda sana sana bila kifani.

Ulinipa nini jamani wangu hadi nachanganyikiwa hivi mapenzi yako yanemtoa katoto kazuri mafichoni.

I LOVE U I LOVE I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I REALLY LOVES U.
 
Ovulation tena!
 
Ongeza sauti akusikie uko alipo
FB_IMG_15649026727385477.jpeg
 
Mmh.! Upati usingizi

Mbn unamsifia ivyo au ndy ashakudhia mahitaji yako maana nyie mnapenda kitu manya 💰💰

NGOJA AJEEEEE asikie izo feeling zako
Nikikutazama roho yaniuma naweweseka kutokuona kabisa.
Nakuota mpenzi wangu nakuhitaji laaziz wangu nakupenda mpenzi wangu usiku nakuwaza hadi napata homa.
Tukigombana napatwa na presha nasina hamu yakula wala kunywa .
Nakosa usingizi kisa wewe mpenzi .
Nakupenda sana sana bila kifani.
Ulinipa nini jamani wangu hadi nachanganyikiwa hivi mapenzi yako yanemtoa katoto kazuri mafichoni.
I LOVE U I LOVE I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I REALLY LOVES U.
 
Nilijua tu...kwa upepo ulivyo mkali leo,dishi lazima lisogee.
 
Less than a minute, take your clothes off
We about to start no false alarm
Even though the traffic downtown don’t show no mercy
Oh, oh think about the last time I came through
Had something more than a gift for you
And I ain't only *** you like that on your birthday
 
Mmh.! Upati usingizi

Mbn unamsifia ivyo au ndy ashakudhia mahitaji yako maana nyie mnapenda kitu manya 💰💰

NGOJA AJEEEEE asikie izo feeling zako
Au ameshamlipia kodi? Masifa kama yote hivi..
Au mimi Njopino ze gentloman
 
Nimekuelewa njoo kwa muromboo ule mbuzi uache ngonjera.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom