Hivi ndiye huyu aliwatolea watu bastora baada mtoto wake kugombea Ubunge kupitia viti maalum UVCCM, zikamtoka milioni 600 lakini bint akaambulia zero votes?Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
huo ndio ukweli kutoka kuiongoza JKT ... hadi alipo sasa hivi ni 🥴🥴🥴.. ila ndio ivyo unakalia tu bench.. unabaki naa story.. kutokea hapo hakuna mahala ataenda zaidi ya kusubiri kustaafu.. ila pia kawasaidia vijana wengi...Ukiona ulikuwa na Cheo Kikubwa Jeshini ( JWTZ ) na ghafla ukaondolewa na kupelekwa kuwa Mshauri wa Mgambo jua kuwa Kwanza Umedharauliwa na Pili hiyo ni Demotion ya Kukuumiza zaidi Kisaikolojia.
Hata classmate wangu Darasa la Masters SAUT Msimbazi Center ( School of Graduate Studies ) Dar es Salaam 2015, Luteni Kanali Erick Komba aliyekuwa Msemaji wa Jeshi ( JWTZ ) nae aliondolewa Makao na kupelekwa huko Mgambo kuwa Mshauri.
Haters LIKUD, Greatest Of All Time na CAPO DELGADO mpo? Kudadadeki......!!
Kwa Heshima yako na Ombi lako ngoja nimfanyie Mkuu. Mkubwa ( VIP ) yoyote hawezi kufanya Jambo halafu Malaika ws Ajabu wa Mungu GENTAMYCINE ambaye Uliko Yuko asijue / nisijue.
Inamaana Tvs imewaka?Friji yangu kamwe huwa haigandishi na hapo bado sijamtaja Demu wake Mmoja mzuri, mnene mwenye Msambwanda ( ila alishaungua tokea mwaka 2005 ) na sasa Wanashea huyo Demu na Mbunge Mmoja Machachari mno na mwenye Matusi ambaye ameishi sana Kawe na sasa ana Nyumba zake za Kupanga Kawe moja ikiwa iko nyuma ya Msikiti maarufu wa kwa Londa Jirani na Soko Jipya la Kawe.
Niendelee Mkuu au kwa sasa niishie tu hapa?
Nashukuru sanaKwa Heshima yako na Ombi lako ngoja nimfanyie Mkuu. Mkubwa ( VIP ) yoyote hawezi kufanya Jambo halafu Malaika ws Ajabu wa Mungu GENTAMYCINE ambaye Uliko Yuko asijue / nisijue.
Unauliza Mamba wengi Mto Malagarasi Kigoma?Inamaana TVS imewaka?
Toa neno dili🫡Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Namjua Afande kuwa Kiroho ni Mtu mzuri, mwema na amesaidia Wengi mno ila tatizo lake Kubwa ni Gambe na Mbunye na hivi Viwili ndivyo Vilimmaliza kutokana na Dossiers zake zilizoenda Magogoni na Chamwino na Kuondolewa.Nashukuru sana
binafsi kanifanyia Ihsan kubwa sana sana sana na Mola amlipe.
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kweli yuko wapi mwamba huyuMwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Gaguti kijana ?!!!Gaguti si alirudi headquarters? Yes alafu Gaguti bado kijana. Baada ya kuachwa urc nadhani alipanda cheo akawa meja jenerali.
Ishia hapo hapo mkuu, imetosha mwishoe utanitajia na pisi yangu pale kwa MwamposaFriji yangu kamwe huwa haigandishi na hapo bado sijamtaja Demu wake Mmoja mzuri, mnene mwenye Msambwanda ( ila alishaungua tokea mwaka 2005 ) na sasa Wanashea huyo Demu na Mbunge Mmoja Machachari mno na mwenye Matusi ambaye ameishi sana Kawe na sasa ana Nyumba zake za Kupanga Kawe moja ikiwa iko nyuma ya Msikiti maarufu wa kwa Londa Jirani na Soko Jipya la Kawe.
Niendelee Mkuu au kwa sasa niishie tu hapa?
Yupo sana tu na anatumikia taifa katika sehemu mbalimbali including ujumbe wa bodi nkMwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Ndio maana mnaambiwa msiwe mnatukana wazee mtawehuka.. Dar hujawahi kufika halafu eti msimbazi centre .. msimbazi centre ya n'gwanoko?Ukiona ulikuwa na Cheo Kikubwa Jeshini ( JWTZ ) na ghafla ukaondolewa na kupelekwa kuwa Mshauri wa Mgambo jua kuwa Kwanza Umedharauliwa na Pili hiyo ni Demotion ya Kukuumiza zaidi Kisaikolojia.
Hata classmate wangu Darasa la Masters SAUT Msimbazi Center ( School of Graduate Studies ) Dar es Salaam 2015, Luteni Kanali Erick Komba aliyekuwa Msemaji wa Jeshi ( JWTZ ) nae aliondolewa Makao na kupelekwa huko Mgambo kuwa Mshauri.
Haters LIKUD, Greatest Of All Time na CAPO DELGADO mpo? Kudadadeki......!!
Farao mpya hamtambui
Yupo sana tu na anatumikia taifa katika sehemu mbalimbali including ujumbe wa bodi nkMwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
ndio angekuwa CDF .. haya maisha acha tu.. mazingira yalikuwa upande wake.. Hata Gaguti alikuwa na upepo..
Na ndiyo maana nimekuita Makusudi ili niendelee Kukusanifu na Kukudharau na ulivyo Boya na Pimbi umekuja Kweli. Wewe Jamaa ni Mpumbavu na Mshamba sijawahi Kuona.Ndio maana mnaambiwa msiwe mnatukana wazee mtawehuka.. Dar hujawahi kufika halafu eti msimbazi centre .. msimbazi centre ya n'gwanoko?
Ulijuaje ni mzalendo na jasiri sana??Niliwahi kukutana nae pale Ruvu akiwa Mkuu wa pale na baadae Nyumbani kwake Kinyerezi
ni Askari Mzalendo sana na jasiri sana. siku hizi vizazi vinatoa chawa kwa matumizi ya baadae ya Nchi
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Karibu tunywe supu mkuuKichaa zaidi ni yule Aliyekuzaa.
Pumbavu.
Ishia hapo hapo mkuu, imetosha mwishoe utanitajia na pisi yangu pale kwa Mwamposa