Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,393
Reaction score
88,770
Kuna mtu alikuja ana shida nimsaidie million moja atarudisha baada ya siku 3, nilimuamini nikamwambia sina ila nitamtafutia.

Nikaipata kwa mtu nikampatia, ila sasa toka aseme anairudisha mpaka leo zimepita week 3 kila siku ananiletea story kuwa anatafuta ananiletea nyumbani ila haleti, juzi nilikutana na mtu akawa ananiambia huyo mdeni ni tapeli ameshaomba hela kwa watu wengine na aliniambia hivyo bila kujua na mimi nimeshampatia pesa.

Sielewi hiyo hela naipataje na mimi sina hiyo hela kusema ntailipa mara moja tu. Nisaidieni nifanye nini huyu mtu arudishe pesa ya watu.
 
Pole sana, ilikuwaje kwanza ukamkopesha hela ndefu kienyeji kienyeji hivyo?
Nilimuamini tu sababu nilijua ni mtu anaejulikana na inasemekana ana pesa nikaona hataleta uswahili.
 
Mkuu huko naogopa hata kupawaza..

Yule wa Kwesasu aliye wafanya ng'ombe wakakweya miti na kuruka tawi hadi tawi kwisha kufwaa. Huyu ndo kiboko. Asikuchezee mtu na hela yako. Huyo niliyekuambia malipo ni baada ya matokeo. Nadhani kale kamama ka senti ya mboga alikwenda huko. Kuna kapicha waliwekaga humu akiwa kavalia jeans la nguvu "Kipedo". Mazingira yale niliona ka ni ya huko mkuu. Asikuchezee mtu.
 
Pole sana ukiona manyoya jua kaliwa ungekuwa umeandikishana ungemshtaki siku zote watu tuwaaminio ndo matapeli wakubwa.
Asante mpenzi. Ila huyu sikutegemea hata kama angeweza kufanya haya maana nimeambiwa ana hela na ni mtu ambae anajulikana sana kwa matumizi yake, kibaya zaidi sifahamu anapoishi wala anapofanya kazi ila marafiki zake nawafahamu baadhi.
 
Kuna mistake za kufanya lakin
Co ya kumkopea mtu pesa
Tena co yako unatoa

Mfukon mwako unaenda
Kumkopea pole sana
Andika tu maumivu ww
 
Kuna mtu alikuja ana shida nimsaidie million moja atarudisha baada ya siku 3, nilimuamini nikamwambia sina ila nitamtafutia. Nikaipata kwa mtu nikampatia, ila sasa toka aseme anairudisha mpaka leo zimepita week 3 kila siku ananiletea story kuwa anatafuta ananiletea nyumbani ila haleti, juzi nilikutana na mtu akawa ananiambia huyo mdeni ni tapeli ameshaomba hela kwa watu wengine na aliniambia hivyo bila kujua na mimi nimeshampatia pesa. Sielewi hiyo hela naipataje na mimi sina hiyo hela kusema ntailipa mara moja tu. Nisaidieni nifanye nini huyu mtu arudishe pesa ya watu.
5de5fec196e559e276e2a56d8fe09e22.jpg

Matatizo mengine mnayaumba wenyewe.
UNGEMWAMBIA HAUNA ANGEKUPIGA?
WEMA USIZIDI UWEZO.
 
Back
Top Bottom