Nimemkamata mwizi wa Taa (balbu) usiku wa leo

Mwizi kama huyo unamgeuza mtumwa kwa muda wa mwaka m'moja. Anafungwa minyororo anafanya kazi nzito kwa mijeledi na kichapo kizito akileta uzembe.

Ukimuachia hatorudia tena.
Unamaanisha apelekwe gerezani au
 
Huyo alitakiwa kupigwa doso na kumfungia hiyo ndoo yenye bulbs kwa kamba ya kiatu kwenye pvmbu ining'inie huku akipiga squats mdogo mdogo.
 
Your Id reminds me of "SITREP...over"
Back to your comment ,Vijana wa siku hizi wameweka "pesa" mbele kabla ya chochote hata akufumanie na mkewe utasikia
"UNA KIASI GANI TUMALIZANE?"
Kwakwel,
 
Naona huyu mwenye mashine ya unga aliweka hivi alishaibiwa sana,
IMG_20211128_123528_749.jpg
 
Inashangaza na inaskitisha...

Ilikua ni majira ya usiku saa saba na ushee usinigzi uligoma kabisa nilikuwa naumwa, tumbo lilikuwa linasokota nikatoka nje kuskilizia maumivu, sasa nikiwa nmekaa kwenye maua yaliyostawi niliona kwa jirani yangu taa za nyumba yake zimeanza kuzima moja baada ya nyingine.

Baadae hapo hapo kwa jirani kulikuwa na taa kubwa ameiweka nyuma ya nyumba nikamuona mtu akielekea kuifuata hiyo taa alipofika eneo ilipo huku mimi nausoma mchezo, taa ilikuwa juu zaidi taa ilizima ghafla jamaa alikua ameshikilia ndoo ndogo ambapo akitoa taa anatumbukiza kwenye hiyo ndoo na fimbo ndefu yenye kimduwala juu

Fimbo imefungiwa chupa la maji lililokatwa likawa na shimo hakuna taa inayoruka ina maana taa inasonteshewa fimbo inakandamizwa na kuchekecha kidogo basii taa inakua imetoka inabakia kwenye li chupa

Basi alitoka hapo nikamuona anaelekea kwangu moja kwa moja nyuma ya nyumba nikafuata taratibu amekalia kuangalia taa nikatokea nyuma yake nikamkaba nikamwambia TULIA UTAKUFA akawa mpole akaanza kujitetea, kwanza karibia mtaa mzima ukua giza utafikiri hatuna luku.

Nikachukua tukaongozana kwa jirani nikamuita jirani akaamka akauliza kuna nini usiku huu? Nkamuuliza hauna luku mbona giza, akasema mbona taa za ndani zinawaka labda zitakua zimeungua, nikawambia huyu hapa mwizi wa taa zako.

Jamaa alipigwa vichwa viwili akaulizwa huwa unapeleka wapi alijibu fasta huwa napeleka machimboni nauza bei ndogo, anasema ikijaa ndoo ndogo ninayozunguka nayo mitaani naenda kumimina kwenye ndoo kubwa (diaba) nililolipaki sehemu, aisee tulimpiga tukaongozana akatupeleka lilipo lindoo likubwa, taa zilikua nyingi kwakweli.

Tukaamua tumpeleke police tukiwa njiani kuelekea huko njiani tukawekwa chini ya ulinzi na walinzi wa mitaani tukaelezea mwanzo mwisho wakatuelewa maana kidhibiti alikua nacho mwizi, tulirudi kulala walinzi tukawakabidhi mtu huyo ndio walimpeleka polisi.


Yuda Exalioth
Natumia Jamiiforums
Karibuni Geita.
Hii ni chai kama chai nyingine kama haitakuwa na picha
 
Tumbo nilipona kabsa, kwa mshituko niliokuanao nilivyomuona anatoka kwa jirani kuelekea nyumbani kwangu

ndipo nilijihisi kusisimka mwili kama natembelewa na nyoka mgongoni tumbo likajawa hofu kama mtu amekoswa kugongwa na gari , tumbo sjui lilipona mda gani

pole sana mkuu.
Mungu alifanya uumwe tumbo kusudi akukamatishe mwizi wako.
 
Back
Top Bottom