Nimemiss kuumizwa kwenye mapenzi...

Alikufanya huyo umbwa mkuu.
Mzee demu aliniaminisha ananipenda dadeki yan altumia nguvu nyingi kuniaminisha nlivoingia tu

Akaanza kuzngua ila nlihakikisha nmemla kila nlipopata nafasi kwaio alivozingua niliumia sababu nilimpenda sio sababu sijamla
 
Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia:

Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!!

Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo hii!!..

Nauhakika nilikua fala!!!....J'' ~Ulinikaribisha dunia hii ya upendo ..
...imagine...usipojib text zangu nilishindwa kula!!
Pale uliponuna.. nilishindwa fanya chochote!!!kwa uhakika nilikua mzaifu kwako J!!!

Uliutumia udhaifu wangu kama fimbo...kwa kubebwa na biShoo mwenye pesa na gar!! Ya nyumban!! ....ooh J:.

Nadhan unakumbuka hili suala lilifanya niibe laki 1 kwa bro wangu na kujichimbia lodge siku 3 bila kula mpka nilipopata msaada wa wahudum na mlinz kwa kupatiwa maziwa ya Moto!! Ooh J!!

Nadhan nyumban kwetu hakuna ambaye hakukujua...na walikubembeleza sana japo unidanganye ili siku ziende lakin wap J!!!

Labda kwakua ulikua chuo ni msomi..nami nilkua VETA kama zumbukuku sikukufaa J!!
...lakin kwanin mwanzo ulinipenda sanaaaa!!!..pengine usingeingia katika mahusiano nami!! Yasingenikuta Yale J!!!

Ona Sasa mpka leo mkono wangu wa kushoto Nina jeraha kubwa J!!! Ni kwaajiri ya kujikata mshipa wa damu ...yaan zivuje damu mpka nife!! Lakin kwa kudra za mwenyez ...ant ako aliniwah na kuziba na mtandio wake ...ni pale nilipokupiga makofi kwenu ..kisa yule boya!!!

Ona!!!! Nilidhan labda udhaif wangu na kukosa pesa kwa uhakika nilifanya kazi baadae ili uwe wangu!! Lakin wap!!!
So unakumbuka Niliwahi kukupigia magoti stend ya bas pale Mboka manyema (Tbr) kisa waenda likizo ndefu bila kuniaga!!!ooh J:

Nilijiunga mpka na majeshi yetu!! Nikidhan labda nikiwa njagu ndan ya BAKA...utaniogopa na kurud kwangu!!!..ona Sasa vyote ninavo lakin kwako bado ni mdhaifu!!!¡!ooh Ooh J:

Ona Sasa siku hiz Nina usafiri wangu J!! Lakin sijampta kama wewe!! Bado mdhaifu tu pamoja na vyote nilivonavo!!!!..ooh J: nildhan ulipenda wenye gar na maisha mazuri!!!

N.B
Umeweka jeraha moyon kwangu J ...umeniletea uhasama mkubwa..kwa wanawake!!!!

Ata huyu mwananguu mwenye umri wa miez mitatu simpend mama ake!!!

Mpka naandika haya ..umenipigia simu Leo ukiwa ni mama wa watoto wawili ..na mmeo unasema akujali!!!... Amekuvunja mguu!!! Na kukung'oa jino moja ...kisa umemfumania hakika nimeumia mno!!! (Siitaj kujua namba yangu umeitoa wapi...ni miaka imepita lakin saut ako ipo kwenye ubongo wangu)

Hata hvo vijisent nilivokutumia ni ujitib mwenyewe kisa amegoma kutoa huduma na amepotea wiik Sasa hata simu zako hapokei!! Naumia sana!!!

Nilishakusamehe J!¡ Lakin siitaj kukuona maishan kwangu!!! Japo moyo wangu unataman %100 kukuona!!!!!......tupo mkoa mmoja J...oooh J..

Umeshakua mke wa mtu mi bado sijaoa ...lakin umepga simu moja tuu ....ya kuniomba msaada na pia nije kukuona .....moja nimetimiza lakin lapil Niko njia panda ....japo kazin nimeomba ruhusa naumwa ooh J!!!!!

Ndugu watakaonipa ushaur ..ni jamii forum pekee ...hawa Ndugu wa damu watahis nililogwa. oooh J!!!! Niko Njia panda Mama:
Kwaiyo wewe now ni soldier??? duuuh j kiboko adi mjeshi umetepeta.... Pole jamaa angu
 
Afande plz kaa kwa kutulia...

Kama naona unavoenda kuumizwa season 2..

Kaa kwa kutulia achana nae huyo Demu..

Utanishukuru baadae
 
Heeeh! Wale wanaotuambia tutafte hela kwa ajili y mapenz wanatudanganya.. Tutafte hela kwa mambo mengine tu
pole mkuu ila uoe tu hatuna haja na shemej kama huyo sisi ndugu zako
Watanzania tunatumiaga kila kitu used, atumie tu
 
Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia:

Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!!

Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo hii!!..

Nauhakika nilikua fala!!!....J'' ~Ulinikaribisha dunia hii ya upendo ..
...imagine...usipojib text zangu nilishindwa kula!!
Pale uliponuna.. nilishindwa fanya chochote!!!kwa uhakika nilikua mzaifu kwako J!!!

Uliutumia udhaifu wangu kama fimbo...kwa kubebwa na biShoo mwenye pesa na gar!! Ya nyumban!! ....ooh J:.

Nadhan unakumbuka hili suala lilifanya niibe laki 1 kwa bro wangu na kujichimbia lodge siku 3 bila kula mpka nilipopata msaada wa wahudum na mlinz kwa kupatiwa maziwa ya Moto!! Ooh J!!

Nadhan nyumban kwetu hakuna ambaye hakukujua...na walikubembeleza sana japo unidanganye ili siku ziende lakin wap J!!!

Labda kwakua ulikua chuo ni msomi..nami nilkua VETA kama zumbukuku sikukufaa J!!
...lakin kwanin mwanzo ulinipenda sanaaaa!!!..pengine usingeingia katika mahusiano nami!! Yasingenikuta Yale J!!!

Ona Sasa mpka leo mkono wangu wa kushoto Nina jeraha kubwa J!!! Ni kwaajiri ya kujikata mshipa wa damu ...yaan zivuje damu mpka nife!! Lakin kwa kudra za mwenyez ...ant ako aliniwah na kuziba na mtandio wake ...ni pale nilipokupiga makofi kwenu ..kisa yule boya!!!

Ona!!!! Nilidhan labda udhaif wangu na kukosa pesa kwa uhakika nilifanya kazi baadae ili uwe wangu!! Lakin wap!!!
So unakumbuka Niliwahi kukupigia magoti stend ya bas pale Mboka manyema (Tbr) kisa waenda likizo ndefu bila kuniaga!!!ooh J:

Nilijiunga mpka na majeshi yetu!! Nikidhan labda nikiwa njagu ndan ya BAKA...utaniogopa na kurud kwangu!!!..ona Sasa vyote ninavo lakin kwako bado ni mdhaifu!!!¡!ooh Ooh J:

Ona Sasa siku hiz Nina usafiri wangu J!! Lakin sijampta kama wewe!! Bado mdhaifu tu pamoja na vyote nilivonavo!!!!..ooh J: nildhan ulipenda wenye gar na maisha mazuri!!!

N.B
Umeweka jeraha moyon kwangu J ...umeniletea uhasama mkubwa..kwa wanawake!!!!

Ata huyu mwananguu mwenye umri wa miez mitatu simpend mama ake!!!

Mpka naandika haya ..umenipigia simu Leo ukiwa ni mama wa watoto wawili ..na mmeo unasema akujali!!!... Amekuvunja mguu!!! Na kukung'oa jino moja ...kisa umemfumania hakika nimeumia mno!!! (Siitaj kujua namba yangu umeitoa wapi...ni miaka imepita lakin saut ako ipo kwenye ubongo wangu)

Hata hvo vijisent nilivokutumia ni ujitib mwenyewe kisa amegoma kutoa huduma na amepotea wiik Sasa hata simu zako hapokei!! Naumia sana!!!

Nilishakusamehe J!¡ Lakin siitaj kukuona maishan kwangu!!! Japo moyo wangu unataman %100 kukuona!!!!!......tupo mkoa mmoja J...oooh J..

Umeshakua mke wa mtu mi bado sijaoa ...lakin umepga simu moja tuu ....ya kuniomba msaada na pia nije kukuona .....moja nimetimiza lakin lapil Niko njia panda ....japo kazin nimeomba ruhusa naumwa ooh J!!!!!

Ndugu watakaonipa ushaur ..ni jamii forum pekee ...hawa Ndugu wa damu watahis nililogwa. oooh J!!!! Niko Njia panda Mama:
Mkuu kaa mbali na huyo mke wa mtu, ohoooo.
 
Rudi kwa J

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi haya maisha za namna hii ni kweli yapo au ni ya kusadikika? Mimi nikikutapika nimekutapika hata kama nilikupendaj kwa kuwa naamini destiny yangu is not tied to any human being but God alone.. Then nina dharau ukishanikataa na mm najiambia sina Haja nae pia.
Usiite mvua acha ije yenyewe,
 
Mkuu nini kilitokea??? Share experience izo watu tujifunze bhana !! Ila pole sana mkuu nadhan sasa ume move on
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom