Nimemiss kuumizwa kwenye mapenzi...

Nimemiss kuumizwa kwenye mapenzi...

Ila kwa mbali naona una kafuraha baada ya kusikia kadem kalikokutosa nako kametendwa
Hapana mkuu!!! Sijui Niko njia hip lakin naona kipindi hicho kama ulikua ni utoto tuu!!

Sijui lakin!!?
 
Hivi haya maisha za namna hii ni kweli yapo au ni ya kusadikika? Mimi nikikutapika nimekutapika hata kama nilikupendaj kwa kuwa naamini destiny yangu is not tied to any human being but God alone.. Then nina dharau ukishanikataa na mm najiambia sina Haja nae pia.
 
Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia:

Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!!

Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo hii!!..

Nauhakika nilikua fala!!!....J'' ~Ulinikaribisha dunia hii ya upendo ..
...imag
Ubinadamu ni kazi sana kuelewana kati ya mtu na mtu. Huyu anampenda mpaka anataka kujiua, hamtaki! Anayemtaka, anamkung'uta mpaka anamtia kilema na kumtoa jino, na hana muda wa kumhudumia!
 
Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia:

Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!!

Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo hii!!..

Nauhakika nilikua fala!!!....J'' ~Ulinikaribisha dunia hii ya upendo ..
Hii single inatoka lini mkuu nikusaidie kui promote?
 
Sijawahi kuwa heartbroken siongelei sifa ila huo ndio ukweli naapa kwa Mungu na mademu nishawahi kuwa nao wengi tu na nishaachwa sana tu na kupenda napenda

Shida ni nini ? Au nitakuwa na tatizo nini
 
Mdhaifu kama ww utakuwaje mjeda wewe, utaweza kuipigania bendera wewe

Joke
 
Yani ulingia jeshini kwa sababu ya mwanamke this is bull shit...
 
J kamshika papaya. Simjui but I bet she is short in height. Ogopa sana wanawake wafupi.
Yani huyo J ni mtu mbaya sana😁😁😁

52C800B2-0F4D-4D29-858F-28735B908747.jpeg
 
Back
Top Bottom