Mmhh asante best
karibu kwetu sitimbi sweety....utapata kila kitu huduma zoote..kumbuka na mume chepuko lipo
ha ha ha ha presha unayo...mkeo kasema noo kuhitaji ruhusa...
Afu we ICHANA una mengi ya kujibu ujue. Mie na wewe tuna miadi mda mrefu lakini unaleta mambo ya kishumundu bhana...aaaah
Mkwe leo una nini?Aiseeee...mwaka mzima umepita napanda daladala tu za Kariakoo-Mbagala, Mwenge-Tegeta ubungo-Tabata. Hakuna siku nimefanikiwa kufika japo Kibaha tu...nakula vumbi la humuhumu tu. Sasa tunaelekea msimu wa Sikukuu sioni hata nakaribishwa mahali. Mke mwenza miss chagga vipi safari hii hatuendi Uchagani? Twin charminglady we hutaki mgeni? ICHANA huko vipi? My wii Honey Faith nialike bwana na mie nijisikiepo. Kama nikikosa kote itabidi niende tu kwa wanangu Mwanyasi na janeth1. First Born na romantic eyes ndoa yao bado changa naogopa kuwabughudhi. Ntuzu my husband hapa mi nikipata kwa kwenda siombi ruhusa naaga tu....
NB: Atakayenialika anatuma ticket ya Fastjet....
Nimewatuma vijana wakamchukue mama kwa helkopta wanamleta saa hii.......!jamani mummy we kwangu hutoi taarifa muda wowote ukijisikia unanambia me natuma tu tiket, hi nilivoona nimefanya mpango fasta uje na ndege ya jioni....nakusubiri my mom....
Mkwe leo una nini?
Juzi nimekupeleka Honkong na umefanikiwa kuja na kilo 16 pamoja na ket 24,
wiki ijayo nimesema tunaenda paris kuangalia mnara live pamoja na mwanao janeth1 mke wangu mpenzi,
leo unatuweka wa mwisho na kusema ukikosa kote? em panda chopa saa hii uje hapa Nairobi tujadili kwa kina
Nimewatuma vijana wakamchukue mama kwa helkopta wanamleta saa hii.......!
Nimegundua mama ameshituka sana baada ile private jet ya mzee kupata ajali
mamaangu anajua kudeka dear utadhani kweli hajasafiri mwaka huu sijui ndo uzee umeanza....au ungeenda mwenyewe Mme ukamchukue....
Mkwe leo una nini?
Juzi nimekupeleka Honkong na umefanikiwa kuja na kilo 16 pamoja na ket 24,
wiki ijayo nimesema tunaenda paris kuangalia mnara live pamoja na mwanao janeth1 mke wangu mpenzi,
leo unatuweka wa mwisho na kusema ukikosa kote? em panda chopa saa hii uje hapa Nairobi tujadili kwa kina