Nimemiss Kusafiri

Nimemiss Kusafiri

mamaangu anajua kudeka dear utadhani kweli hajasafiri mwaka huu sijui ndo uzee umeanza....au ungeenda mwenyewe Mme ukamchukue....

Eee douta mwambie mkwe aje anichukue mwenyewe bhana....hao vijana wataweza kuchukuliana na usumbufu wangu kweli? Maana mi hata nikipanda chopa lazima njiani nichimbe dawa
 
Eee douta mwambie mkwe aje anichukue mwenyewe bhana....hao vijana wataweza kuchukuliana na usumbufu wangu kweli? Maana mi hata nikipanda chopa lazima njiani nichimbe dawa

Haya mama atakuja akuchukue mwenyewe hao vijana wasije wakaanza kukusumbua njiani...
 
Back
Top Bottom