Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,838
Aiseeee...mwaka mzima umepita napanda daladala tu za Kariakoo-Mbagala, Mwenge-Tegeta ubungo-Tabata. Hakuna siku nimefanikiwa kufika japo Kibaha tu...nakula vumbi la humuhumu tu. Sasa tunaelekea msimu wa Sikukuu sioni hata nakaribishwa mahali. Mke mwenza miss chagga vipi safari hii hatuendi Uchagani? Twin charminglady we hutaki mgeni? ICHANA huko vipi? My wii Honey Faith nialike bwana na mie nijisikiepo. Kama nikikosa kote itabidi niende tu kwa wanangu Mwanyasi na janeth1. First Born na romantic eyes ndoa yao bado changa naogopa kuwabughudhi. Ntuzu my husband hapa mi nikipata kwa kwenda siombi ruhusa naaga tu....
NB: Atakayenialika anatuma ticket ya Fastjet....
NB: Atakayenialika anatuma ticket ya Fastjet....
Last edited by a moderator: