Nimemiss Kusafiri

Nimemiss Kusafiri

Aiseeee...mwaka mzima umepita napanda daladala tu za Kariakoo-Mbagala, Mwenge-Tegeta ubungo-Tabata. Hakuna siku nimefanikiwa kufika japo Kibaha tu...nakula vumbi la humuhumu tu. Sasa tunaelekea msimu wa Sikukuu sioni hata nakaribishwa mahali. Mke mwenza miss chagga vipi safari hii hatuendi Uchagani? Twin charminglady we hutaki mgeni? ICHANA huko vipi? My wii Honey Faith nialike bwana na mie nijisikiepo. Kama nikikosa kote itabidi niende tu kwa wanangu Mwanyasi na janeth1. First Born na romantic eyes ndoa yao bado changa naogopa kuwabughudhi. Ntuzu my husband hapa mi nikipata kwa kwenda siombi ruhusa naaga tu....
NB: Atakayenialika anatuma ticket ya Fastjet....

Ningelikualika, tatizo namuogopa brother maana timbwili lake, mmmmh....!?
 
Last edited by a moderator:
Ningelikualika, tatizo namuogopa brother maana timbwili lake, mmmmh....!?

Hahahaa unamuonea mume wangu bhana mbona mpole tu af hawezi kugomba kwako kwani mnadhuriana?
 
Tehe, basi ngoja nuombe ruhusa kwake, akiruhusu tu, ticket umepata. Eti brother Ntuzu, naomba shemeji anitembelee wakati wa sikuu. Naomba aje peke yake, maana kuna vitu nataka tushauriane pasipo wewe kuwepo.......!?
 
Last edited by a moderator:
Tehe, basi ngoja nuombe ruhusa kwake, akiruhusu tu, ticket umepata. Eti brother Ntuzu, naomba shemeji anitembelee wakati wa sikuu. Naomba aje peke yake, maana kuna vitu nataka tushauriane pasipo wewe kuwepo.......!?

Ngoja aje akujibu...hana tatizo kabisa
 
Last edited by a moderator:
Tehe, basi ngoja nuombe ruhusa kwake, akiruhusu tu, ticket umepata. Eti brother Ntuzu, naomba shemeji anitembelee wakati wa sikuu. Naomba aje peke yake, maana kuna vitu nataka tushauriane pasipo wewe kuwepo.......!?


Mashimba1 usihofu ndugu yangu mi nahitaji mrejesho tu wa hayo mashauriano....!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom