janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Eeeehh....hivi eeh? Kwani si ana mume huyu?
nimesahau kama ana Mme sababu ye mwenyewe hajijui kama kaolewa au lah, kila mwanaume ye anamtaka..
Eeeehh....hivi eeh? Kwani si ana mume huyu?
ugali wa Muhogo.........unatia kiu..............Bada ndio kitu gani aisee...
december twende usukumani Khantwe...
Hahaa hiyo safi sana maana kufumba na kufumbua unakuwa umefika....
Tehe tehe huyu mkweo kiboko
kama sehemu ya kupumzikia tu usiofu karibu mpuguso hali ya hewa safi utapapenda tu mwenyweUsukumani? No way....natafuta sehemu ya kupumzika sio sehemu ya kwenda kuchunga ng'ombe.....
Umeona dada yangu.Mie ngoja nifanye mpango nimkatie fastjet aje usukumani atusongee ugali wa udaga bila kusahau kutusongea michembe ya chai
Hamnipati ng'oo nani aje asonge miugali....kaka yenu mwenyewe akijisikia kula miugali anajisongea mwenyewe
Yan raha kweli...vipi mkuu we husafiri?
Hamnipati ng'oo nani aje asonge miugali....kaka yenu mwenyewe akijisikia kula miugali anajisongea mwenyewe
Eeh ndo unaishi huko?