Si ulikuja kulala we lalaaa
Siwezi sahau afande alikuwa anajiita kero alikuja kuamsha boys akapuliza kipyenga Mara moja akakimbilia kombania wote ngorongoro tulishona kwa kuchelewa kufoleni ila hapo kila mtu anatukana kimoyomoyo angekuwa anasikia sijui ingekuwaje