Hata route match tulipiga mayowe ya kufa MTU. Kutoka Makutopora hadi Dodoma jamhuri na kurudi. Nyingine tukapiga kule uwanja Wa ndege. Kupita mzakwe.
Shikamoo Jkt. B coy. 1986/7
Ka mb.olo kadogo kanat..om.ba jimama.....Dah hii nyimbo ilitulaza mahabusu sisi na afande wetu,RSM Matanda aliposikia tu akasema MP kamata wote waleeee siku tatu halafu tukapewa Guard siku tatu