Weshauri yako unadhani tego langu mpa nichomoe sime kwenye hala??tego langu ni kutoa gsport ndomnabanduka!!uko tayari??na wewe Bigirita unaamuka kurisk au inzi kufia kwenye kidonda??
...hahahahahahaha..umeuaDadavua sasa kibogoyo sianaona nyama kama mtanzania anavyoisikia dhaabu
Yaya Toure naona jamani.............kuna watu nawamisi mpaka nasikia kuumwa nywele.....kaka Mpendwa yuko wapi jamani? Paka Mweusi, Michelle.....wapo wengi wengi, njooni basi jamani niwaone hata kwa macho.Haha emuemuyu watu wamepigika hatari
eheeeee........hapo kwenye ku-test ndo panazungumzika.
nipe Coordinates fasta!!!
Hizi hapa S 25 55.90 E 32 34.60 kazi ni kwako.
Binamu route ya TA nakutegemea kwa kila kitu pendwa, arif kwa nn umenitenga masiku haya karibu na trip?
Chagua rangi ya zawadi.......animal print utapenda? usihangaike na size....size naijua.Hizi hapa S 25 55.90 E 32 34.60 kazi ni kwako.
.......Taratibu Mpwa.....😛ainkiller:😛ainkiller:Binamu route ya TA nakutegemea kwa kila kitu pendwa, arif kwa nn umenitenga masiku haya karibu na trip?
Chagua rangi ya zawadi.......animal print utapenda? usihangaike na size....size naijua.
:smiling::smiling:
Chagua rangi ya zawadi.......animal print utapenda? usihangaike na size....size naijua.
:smiling::smiling:
Yaya Toure naona jamani.............kuna watu nawamisi mpaka nasikia kuumwa nywele.....kaka Mpendwa yuko wapi jamani? Paka Mweusi, Michelle.....wapo wengi wengi, njooni basi jamani niwaone hata kwa macho.
Bahati au zengwe....Bahati ya mwenzio usilalie .......... malizia.
Mpwa, unamjua huyu mtu.. kbosho???Hili lithread natamani nimwone PakaJimmy.
Nadhani atakuwa amekumbuka na kuelewa jambo flani hivi.
Hebu niitieni MwanajamiiOne, Askofu, dogo The Finest na GY fasta
Wee mtakatifu uliyezeeka.....Bahati au zengwe....
Orait Orait.....noted.:wink:Ya kibluu bhana alafu usisahau na cha juu, size natumai unaijua.