Nimemisi tu EMUEMUYU

Hahahahahahaaaa....................Hapa naona Masai kaliwa na Ndama------------Wapi Teamo??
 
Last edited by a moderator:
LD nafurahi jana nimekuona laivu, I was so happy kumwona mwanajamii forum..
 
Last edited by a moderator:
Reactions: LD
hahaha...!benchoid na nusu
Hapa kilichibaki ni fitna tu!!
Eti wanajifanya wamegawana hawa viumbe kule ChitChat.....

Benchoid !!!! Wapi nivea.............come this way.
 
Last edited by a moderator:
LD hebu fanya fanya na mimi nikuone .......nasikia huwa unaonekana kirahisirahisi tu!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: LD
Hapa kilichibaki ni fitna tu!!
Eti wanajifanya wamegawana hawa viumbe kule ChitChat.....

Benchoid !!!! Wapi nivea.............come this way.
njoo unase mwenzio kaweka tego??/
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikutafutie mchumba !kweli ulipotea sana @LD
 
Reactions: LD
LD hebu fanya fanya na mimi nikuone .......nasikia huwa unaonekana kirahisirahisi tu!
Bigirita wataniona wapi hawa wa watu jamani...........sionekanagi mimi bwana, waongo tu hawa jamaa.
 
Last edited by a moderator:
njoo unase mwenzio kaweka tego??/
Sasa hapa shahidi ni kabaila Kaizer peke yake....
tego kaliweka wapi?....kaweka kote? hata kwenye mikono?
:confused2::confused2:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…