Nimemisi tu EMUEMUYU

Usishtuke........hapa ni fitna tu kama mzee Akilimali wa Yanga.
teh teh teh haya twende mdogo mdogo basi....maana naona LD feels lonely
 
Last edited by a moderator:
Tualia kwanza.......usihamaki.
Unaweza kukosa vitu vizuri hivihivi.

Sasa tuanze na fitna........unajua huyo aliyekubuku ana demu mwenye mimba ya miezi sita? unajua yumo humu kila siku?
Shaurilo.
mweeeeeee KakaKiiza njo ujibu kabla sijarudi nyumbani mimi sumu itakuwa halali yangu ati lol Baba V weka tangazo lakuvunjika kwa capo ya nivea na KakaKiiza rasmi kaka yangu kipenzi uliyekula mahari Erickb52 njoooooooooooooooooooooo nishike mie nishike mie kakak yangu nimetendwa
 
Last edited by a moderator:
Hehehe sasa achana na paka mweusi , hapa habari ni mimi na wewe tu ! tumechoka na kitaaa
Paka Mweusi hausiki na kukaa kwetu kitaa lakini.....we si tushamaliza..........tukutane Kebb's jioni hii tuongee kwa kina.
Huu utaratibu lazima ufanyiwe uchambuzi yakinifu........n
 
Last edited by a moderator:
Paka Mweusi hausiki na kukaa kwetu kitaa lakini.....we si tushamaliza..........tukutane Kebb's jioni hii tuongee kwa kina.
Huu utaratibu lazima ufanyiwe uchambuzi yakinifu........n
copy that
 
Reactions: LD

Mshiki nkiki mae..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…