Nimemgusa mama mwenye ukoma wakati namsaidia,kuna athari zozte nitapata?

miss_blossom

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,607
2,148
Habari zenu wana jf
Leo nikiwa safarini kivukoni nimemgusa mama mwenye ukoma wakati namsaidia pesa,
Je kuna athari zozote ambazo naweza kupata kutokana na mgusano huo?
 
Sidhani kama ana ukoma, ni kuwa ni majeraha ya ukoma. Hana virus as long as alitibiwa. chances kuwa utaambukizwa ni nill!
 
Kwa ufahamu wangu Ukoma huenea kwa njia ya hewa. Kukohoa, kucheka na mengineyo husababisha ugonjwa huo.

Hapo toa shaka. Huwezi kuupata.

Mwenyenzi Mungu akubariki kwa hicho kidogo ulichompa ndugu yetu. Hiyo ni Sadaka na utapata thawabu kutoka Kwa Mungu.

Ubarikiwe.
 
Asante
 
Back
Top Bottom