Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,792
Asa we huonii HAKUNA MKE HAPOOO......
Halafu acha kusingizia watu hii case inakuhusu ww
Halafu acha kusingizia watu hii case inakuhusu ww
Kweli kabisaJamaa yako kaombwa ushauri,nae amekuomba ushauri wewe , pia na wewe unahitaji ushauri toka JF.Jamani vijana wa kileo mbona tunajiaibisha hivi?kwanza hili suala ni la kutaka ushauri kweli?mnailaumu serikali hasa polisi kuwa mtuhumiwa akikamatwa hata na kidhibiti bado utaskia "UCHUNGUZI UNAENDELEA, FAILI LIPO KWA DPP,USHAHIDI HAUJAKAMILIA NA BLAH BLAH KIBAO" Sasa huyo jamaa wa jamaa yako amekuta mkewe mtarajiwa AKIKAZWA" Live bado tena ameomba ushauri kwa mtu,na huyo aliyeombwa nae amekosa cha kusema kaja kuomba kwako ambaye huenda hufahamiani na huyo mtendwa,wewe nawe umelileta hapa............hakuna haja ya kuilaumu serikali kuchelewa kufanya maamuzi kwa sababu ya Bureaucracy while na nyie mnazo.........