Nimemfumania na mwanamume mwingine, Je nimuoe?

Nimemfumania na mwanamume mwingine, Je nimuoe?

Akimuoa ajue yeye atakuwa mwanaume wa pili maana wa kwanza tayari anaye. Na wote atakuwa anawapa tunda
 
Kwa kuwa umesikia....kwa kuwa umeambiwa ....basi na mimi nakwambia kamwambie kuwa umetuambia na kama anataka ushauri aje yeye hapa tutamshauri. Wewe acha kiherehere chako!...however nikisoma between lines naona kabisa "mtajwa" ni wewe mana kwa uandishi kama huu unaonesha umechanganyikiwa sana...pooole sana! Wanawake wamekwisha kwani mpaka huyo?khaaa! Kuwa mwanaume ni kazi sana aisee....
 
pamoja na kwamba mimi ni mchepukaji mzuri sana ila kati ya kosa ambalo sitakuja kumsamehe mpenzi wangu nikigundua kansaliti
 
kama huyo jamaa alikua hajakojoa bado amuoe tu!
 
Hii ishu ni ya kwako mleta mada...sisi watu wazima ati!
 
kabla ya kukushauri kwanza nataka kujua kitu kimoja,,huyo jamaa yako baada ya kumfumania mchumba wake alichukua hatua gani?
 
victim akaomba ushauri kwa rafiki yake. Huyo rafiki yake nae akamuomba ushauri rafiki yake mwingine (mleta uzi) ambae ni third party in chain. Mleta uzi nae kaja JF kuomba ushauri.

HUWA NACHOKA SANA!
 
Mwambie akamwambie aoe tu maana alipitiwa na shetani tu, hatarudia tena
 
Habarini wana MMU!

Rejea kichwa cha habari halo juu, hayo si maneno yangu Bali ni rafiki yangu aliniambia kuna jamaa yake kamfumania mchumba wake live na mwanamume mwingine wakigawiana tunda.

Jamaa keshalipa mahari na kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya kukamilisha ndoa yao. Wazazi walikuwa wamesharidhia na ndoa ilipangwa kufanyika mwezi wa kumi yaani mwezi ujao! Katika kupiga story rafiki yangu akaniuliza, nanukuu, "Jamaa yangu kaniomba ushauri,nimwache au niendelee naye" mwisho Wa kunukuu! Nimeamua kulileta kwenu pia ili tuweze kumshauri huyu kaka maana nasikia kachanganikiwa sana! Nawasolisha!

Anataka ayumie mwenyewe ni sumu hiyo au jeneza??? Cha mtu uliwa na mtu na chuma ndicho huliwa na kutuu... kinachotakiwa ajipongeze kapata goma la uhakika
 
Habarini wana MMU!

Rejea kichwa cha habari halo juu, hayo si maneno yangu Bali ni rafiki yangu aliniambia kuna jamaa yake kamfumania mchumba wake live na mwanamume mwingine wakigawiana tunda.

Jamaa keshalipa mahari na kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya kukamilisha ndoa yao. Wazazi walikuwa wamesharidhia na ndoa ilipangwa kufanyika mwezi wa kumi yaani mwezi ujao! Katika kupiga story rafiki yangu akaniuliza, nanukuu, "Jamaa yangu kaniomba ushauri,nimwache au niendelee naye" mwisho Wa kunukuu! Nimeamua kulileta kwenu pia ili tuweze kumshauri huyu kaka maana nasikia kachanganikiwa sana! Nawasolisha!


kwa afya; amani na usalama wake asioe huyo mwanamke. ukiona mwanamke katolewa mahali lakini anagawa uchi kwa wanaume wengine ujue huyo ni kahaba na malaya hawezi kuacha baada ya kuolewa. ndoa ni kuaminiana ndicho huleta amani mtu uliyemfumania live huwezi kumuamini tena hata ujilazimishe vp.

omba Mungu atakupa mwanamke mwingine aliye muaminifu na anayekujali

huyo hata ukimwi hauko mbali naye
 
Khaa!! This is a complex case. Unaweza kutoa maelezo ya ziada?
 
Habarini wana MMU!

Rejea kichwa cha habari halo juu, hayo si maneno yangu Bali ni rafiki yangu aliniambia kuna jamaa yake kamfumania mchumba wake live na mwanamume mwingine wakigawiana tunda.

Jamaa keshalipa mahari na kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya kukamilisha ndoa yao. Wazazi walikuwa wamesharidhia na ndoa ilipangwa kufanyika mwezi wa kumi yaani mwezi ujao! Katika kupiga story rafiki yangu akaniuliza, nanukuu, "Jamaa yangu kaniomba ushauri,nimwache au niendelee naye" mwisho Wa kunukuu! Nimeamua kulileta kwenu pia ili tuweze kumshauri huyu kaka maana nasikia kachanganikiwa sana! Nawasolisha!
Mwambie asimuoe kwakuwa atazidi kuchanganyikiwa....
 
mi namshauri kwanza akamgegede uyo mwanaume alomkuta naye, halaf masuala ya kuoana na demu wake ndo yatafuata baadae.
 
Kibiblia Amefanya Dhambi, Nikiwa Kama Mchungaji Naweza Kusema
1. Wakapime Kuona Kama Hana Ujauzito, Na Kama Hana Mimba, Mwanamke Anapaswa Kutubu Kwa Mungu Na Kisha Kumuomba Msamaha Mume Wake Mtarajiwa,wakaendelea Na Ratiba Zao.

2. Au Kama Ataamua Kuachana Nae Ni Sawa Kwa Sbb Bado Hawakuwa Mke Na Mume Kamili.

Na Ndio Ni Faida Sana Kumpa Yesu Maisha Yako Kabla,ili Yeye Akuongoze
 
Back
Top Bottom