Nimemfumania mume wangu live

wajua si vyema kufanya practical kisha ukapata majibu negative...ulitaka mwenyewe kujua kama mumeo anachepuka...kwa maoni yangu practical yako ilifua dafu...cha msingi sasa ujuwe cha kufanya ili kutatua hilo tatizo maana majibu unayo
 
Issue sio tamaa,haya mambo ni kumuumba tu Mungu. Kuna watu wanaonekana wema machoni mbele za watu ilihali ni, "Simba mwenda pole.........."
Hakuna binadamu mwenye immune ya kutocheat, unless ana matatizo; anyone can fall into it. Ila tatizo ni kwamba tumejiendekeza sana na kucheat ndo maana mtu hata akicheat hajisikii vibaya na wala hatojutia, tumeshakifanya kuwa ni kitu cha kawaida tu. Tusipokuwa na hofu ya Mungu, tukajifunza kuridhika na wenzi wetu na kutokuendekeza tamaa, tutazidi kuangamiza ndoa zetu. Kila siku unakutana na watu wa design tofauti tofauti na kila mtu ana kitu chake kizuri, utawatanani wote na kulala nao? Mbona tutakuwa kama wanyama wasio na utashi

Plus jamii yetu ni kama imehalalisha wanaume Kuchepuka, na muda wote tunawaona wao kama ni victims. Hata wanawake wanachepuka pia, but maybe sio at a rate kama ya wanaume au kwa kificho sana, coz mwanamke ukidakwa ni talaka tu, but mwanaume hata akidakwa, jamii nzima itamtetea, ooh mke kajichunguze utakuwa una mapungufu somewhere ndo maana mumeo katoka. Tena usishangae mke ndo atasema mume wangu alitegwa na msamaha ataomba yeye maana kupata mume sio kazi rahisi, ataanzisha vita na mchepuko eishhhh . Whoever swallowed our senses, should vomit them now IJN khaa. Cheating is a state of mind
 
Umemtumia rafiki yako kumfumaniaje tena wakati ulipanga na rafiki yako!?

Unashangaza kama mwanamke, sasa huyo rafiki yako ukikuta kesho amempa penzi analolitaka miaka yote utafanyaje?

Wewe kama mke ulishindwaje kuyamaliza na mume bila kumtumia rafiki yako.

Unajua wqnaume wanajua kujibu kwa visasi, unamlazimisha akubali nini tena wqkati umemfumania kama unavyodai? Umejichemshia maji ya moto.

Natabiri kumeo kufanya ambayo hata hukutegemea, kwanza umemshushia hadhi kwa kumuabisha live, na walivyo na vinyongo eeeeeh

Umeokoa kwa rafiki, subiri kupata wenzakonhata kumi na watoto wake huko nje.


Haya mambo yanataka utumie akili, kwangu mimi umechemka vibaya mno. Ungetumia njia zingine kuyazima hayo anayofanya. Unalo kama unamjua vizuri basi jaribu kujenga na sio kwenda unapiga tarumbeta kila mahala kumsema.

Usisahau kumchunga huyo rafiki yako aliyekubali kutenda mliyotenda, hakutakii mema. Angekuwa anakutakia mema angetumia njia ingine kumuonyesha kuwa amekuambia na hujui leo kaambiwaje kwa hizo dakika chache na labda kapenda ha ha haaaaa

Kila la kheri.
Leo umeacha unazi wako wa kumtetea yule kilaza aliye kwepa mkuki tuna jiandaa kumpeleka kortin
 
Hakuna binadamu mwenye immune ya kutocheat, unless ana matatizo; anyone can fall into it. Ila tatizo ni kwamba tumejiendekeza sana na kucheat ndo maana mtu hata akicheat hajisikii vibaya na wala hatojutia, tumeshakifanya kuwa ni kitu cha kawaida tu. Tusipokuwa na hofu ya Mungu, tukajifunza kuridhika na wenzi wetu na kutokuendekeza tamaa, tutazidi kuangamiza ndoa zetu. Kila siku unakutana na watu wa design tofauti tofauti na kila mtu ana kitu chake kizuri, utawatanani wote na kulala nao? Mbona tutakuwa kama wanyama wasio na utashi

Plus jamii yetu ni kama imehalalisha wanaume Kuchepuka, na muda wote tunawaona wao kama ni victims. Hata wanawake wanachepuka pia, but maybe sio at a rate kama ya wanaume au kwa kificho sana, coz mwanamke ukidakwa ni talaka tu, but mwanaume hata akidakwa, jamii nzima itamtetea, ooh mke kajichunguze utakuwa una mapungufu somewhere ndo maana mumeo katoka. ena usishangae mke ndo atasema mume wangu alitegwa na msamaha ataomba yeye maana kupata mume sio kazi rahisi, ataanzisha vita na mchepuko eishhhh. Whoever swallowed our senses, should vomit them now khaa
Mdada nimekupenda bure! Watu hatuna hofu ya Mungu wala hatujali hisia za wenza wetu.
 
Leo umeacha unazi wako wa kumtetea yule kilaza aliye kwepa mkuki tuna jiandaa kumpeleka kortin

Unapovuka nini, mimi sideal na vilaza. Kama wewe kilaza pita hukoooooooo mbaki kabisa. Mtanyooka tu
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Kuna kitu amekikosa kwako ila rafiki yako anacho. Hayo ndiyo matokeo ya wanawake wasioweza kulinda himaya zao. Pole sana kwa kusaidiwa kile ulichoshindwa kukifanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom