MKUU WA KAYA
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 201
- 66
kwani we si ndo ulikuwa unamnyima ilikuwaje tena ukadai,we ulivokuwa unakimbilia bar?
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
kivipi?bado sijakusoma!!sin imebadilisha avatar!!sikusomi ndugu, tiririka
Kuna raia anaitwa sweetylady humu jf vp unamfahamu? Maana amekuwa kimya halafu wewe ndio nakuona
mtani wangu kuna kanikera mtaani kwangu nikupitie wapi tukampe makavu!aahhahahhahahhahahahahaah mimi hapa tu pa za uso ndo unanipaga raha!
chezeya mnyambara akikasirika wewe!
huyu ndio yule ***** aliyemnyima mkewe chakula cha usiku kama adhabu hadi mke 'alipomuomba msamaha'. wanawake mna kazi!! haya subiri atarudi tena 'kukuomba msamaha'
yani hili dubwana mi lilinikera toka kipindi kile!yani zombie si zombie mummy si mummy,akili zake zitakuwa zinatokea makwapanihahaha yaani ni sifa za kijinga...yaani anakuja hapa jukaani "eti nimemfukuza mke wangu usiku wa manane"...utadhani toto lililojiharibia kwenye pampazi
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
Hongera sana, huo ndio uanaumeToka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
Hongera sana, huo ndio uanaume
Huyo Mume alikutenda nini mpaka mkafarakana?kama huyu nae ni mwanaume BAKHITA nitafutieni istilahi sahihi ya kumrejelea mume wangu!
Huyo Mume alikutenda nini mpaka mkafarakana?