Mi mke wangu hadi akanikorogea limbwata ili niisahau JF likadunda sembuse mumeo?!:A S 27:
una akili sana wewe!
Sosi: mwenye mke!
Tuchokozeni tuuhoney Bishanga hajatulia teh...teh...teh...!!!!!
Zahra mambo. ...
koma watu8 .....tena ukome kama ulivyokoma nyonyo ya mama watu8!!!
Cc Zahra White wangu nyongo mkalia ini
Cc Lady doctor bodegadi wa mahawara na vimada wangu
Cc Maeskron mme wako hakufai kabisa,piga chini
Cc Baba V...nilinde,nasikia harufu ya damu
modigadi wako mpaka kitandani!