Nimemfotoa mjeda mzungu leo!

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Hivi ni sahihi mjeshi mzungu kuendesha gari ya JWTZ?
 

Attachments

  • 1402853277593.jpg
    112.9 KB · Views: 1,167
  • 1402853299612.jpg
    47.3 KB · Views: 1,007
Sahihi ndio, mbona wachina wengi tu wanakua na hayo magari?
 
Ni sahihi mkuu huyo unakuta ni mjeda pia wa nchi flani na wapo hapa kwa shughuli maalumu za kijeshi pia
 
Hivi ni sahihi mjeshi mzungu kuendesha gari ya JWTZ?

Dogo usijitakie shida ..... system ya nchi unaijua wewe au hii avatar ndo inakudanganya kwaba huwezi patikana?? ya usalama waachie usalama wenyewe wanajua kwa nini yuko pale..... usione nchi inaaaman ukafikir watu wamelala tu .... msipende kufanya kila kitu politik... mtakuja kujiletea makubwa.... si kila kitu uonacho unarusha wengine hata wakihoji yooote noi famours sasa mimi na wewe kaka yako????huko ulikoenda siko dogo
 
Na Mimi kuna siku flani nilikutana nao Mwenge...ten alikuwa navuta gari bovu..
 
Hii nchi wageni wanajiachia sana wakati wazawa tunasota sana!hivi huu utumwa wa fikra utaisha lini?
 

System ya maji taka
 
Hii nchi wageni wanajiachia sana wakati wazawa tunasota sana!hivi huu utumwa wa fikra utaisha lini?
mkuu kama na wewe una ka utalaamu fulani ka kuwafunza askari wetu,uendeko tu,hutakosa gari ya jw ya kujiachia nayo mitaani.
 
Ipo Siku nilimuona mchina anaendesha gari STK nilitamani kulia
 
If only you could mind your own little bussiness!
 
mkuu kama na wewe una ka utalaamu fulani ka kuwafunza askari wetu,uendeko tu,hutakosa gari ya jw ya kujiachia nayo mitaani.

Nimebahatika kutembelea mahali pengi duniani,mashariki,magharibi,kusini hata kaskazini sijapata kuona wageni wakibebwa na serikali kama Tanzania. Kwani kuna shida huyo mjeda kuendeshwa na dereva mzalendo?naanza kuwa na wasi wasi siku moja tutakuta hata ikulu iko mikononi mwa wageni!aibu sana!
 
Hii nchi wageni wanajiachia sana wakati wazawa tunasota sana!hivi huu utumwa wa fikra utaisha lini?

Mkuu kwa haya mawazo yako kuwa kuendesha gari ni kujiachia, sidhani kama utatoka kwenye hilo lindi la umaskini linalokukabili.
 
Akili ndogo zimevamia JF, basi great thinkers wanapata tabu Sana kuchangia post za kitoto kama hii, can't u even reason? SI kila kitu Ni cha kupost humu wewe ndugu, umesikia ee
 
Halafu mambo ya kuwafotoa hawa jamaa iko siku utashuka ujitwishe gari lako,mpaka nyumbani kwenu. Mambo mengine bora kupotezea kama wadau walivyokushauri.
 
Huyo anaweza kuwa ni mtaalamu amaekuja kama mshauri. MAjeshi ya nchi mbali mbali huwa yanashirikiana.
 
Pichani hapa chini, upande wa kushoto ni wale askari walioruka na parachute siku ya sherehe za muungano pale zanziba.
Na hao wa kushoto ni wanajeshi 'wazungu' ambao waliwawezesha hao wabongo kuruka. katikati ni msanii Mrisho Mpoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…