Nimemfosi mke wangu aende club muda huu

Nimemfosi mke wangu aende club muda huu

Nimeifosi akili yake,mishipa na mwili wake ajiandae aelekee club na ampigie simu mtu rafiki ake wa kike.

Ameshakwenda club Y na naona madume wakware yameshaanza kummemdea na kumkonyeza.
Naumia ila napiga moyo konde. Matokeo ya hichi nikifanyacho ni mazuri mno.

Namuona jamaa amefika kukaa kwenye meza yao. Nimemuamuru amuwekee ngumu asilete mazoea naye.

Lengo ni ili niufahamu mtandao wake wote wa wanaume ili nidili nao. Rafiki ake hachoki kumuuliza maswali ie "jamani G unaumwaa? Mbona sikuelewi elewi leo"?

Hajui kuwa leo siyo akili yake bali ni mimi mumewe nipo ndani yake kiroho.
Anyway acha inyeshe nione panapovuja.

Hapa natype kupitia mke wangu ila naficha ficha simu ili rafiki ake Suzy(sio jina halisi) asione ID yangu na asije akapata mashaka ya ninachoandika.

Nataka nijue mbivu na mbichi. Na hii ni club ambayo anapenda sana kuja thats why nikaamua nije hapa. Nitajua kila kitu.

Nitaleta mrejesho lengo ni kuwaonesha watu namna hii sayansi inavyo function... pia kukomesha vitendo vya usaliti na kufundisha wanaume kua mke wa mtu ni sumu

Nb
Yeye mke wangu anajua nipo kazini na nilifanya kusudi kumdanganya kuwa nitachelewa kurudi leo
Nasubiri mrejesho, nishtue.
 
Umejiandaa kumwacha bila shaka
 
Kwanini usimfosi aende kanisani Ili aombewe aachane na michepuko? Ukiishaijua michepuko yake utafanya nini? Mwanamke kama haukumkuta na bikra usiangaike kumfuatilia utaumia mwenyewe angalau kidogo kama ulimkuta na bikra yake unajua amejifunzia ukubwani ni rahisi kidogo kumrekebisha
 
Sasa akipelekewa moto 071.... si tushakukosa kaka
 
Iyo ni bar,, club atuemd kuangalia taarifa ya habari saiv .
 
Nimeifosi akili yake,mishipa na mwili wake ajiandae aelekee club na ampigie simu mtu rafiki ake wa kike.

Ameshakwenda club Y na naona madume wakware yameshaanza kummemdea na kumkonyeza.

Naumia ila napiga moyo konde. Matokeo ya hichi nikifanyacho ni mazuri mno.

Namuona jamaa amefika kukaa kwenye meza yao. Nimemuamuru amuwekee ngumu asilete mazoea naye.

Lengo ni ili niufahamu mtandao wake wote wa wanaume ili nidili nao. Rafiki ake hachoki kumuuliza maswali ie "jamani G unaumwaa? Mbona sikuelewi elewi leo"?

Hajui kuwa leo siyo akili yake bali ni mimi mumewe nipo ndani yake kiroho.
Anyway acha inyeshe nione panapovuja.

Hapa natype kupitia mke wangu ila naficha ficha simu ili rafiki ake Suzy(sio jina halisi) asione ID yangu na asije akapata mashaka ya ninachoandika.

Nataka nijue mbivu na mbichi. Na hii ni club ambayo anapenda sana kuja thats why nikaamua nije hapa. Nitajua kila kitu.

Nitaleta mrejesho lengo ni kuwaonesha watu namna hii sayansi inavyo function. Pia kukomesha vitendo vya usaliti na kufundisha wanaume kua mke wa mtu ni sumu.

NB: Yeye mke wangu anajua nipo kazini na nilifanya kusudi kumdanganya kuwa nitachelewa kurudi leo.
Kupigiwa utaendelea kupigiwa tuu hamna namna ,tafta njia nyingine , utaishia kuwaua wajuba kumbe mke wako ndo tatizo , kama mke wako ni mzinzi na huwezi kumvumilia achana nae , ni katika kipengele hcho biblia pia inaruhusu kumtema , samahani Kama we ni muislamu ,
 
Bro mbn unateseka,ndiyo huyo mwanamke unampenda Ila ka hana hisia naww Tena leave her Kama huwezi Jenga upya hisia zake kwako,tofauti na hivyo utazidi kuumia Hadi kesho hakuna unachosolve mzee.
Tatizo lipo kwa mkeo si masela!
Generally;huyo mwanamke unampenda aswa na nguvu ya kumuacha huna pengine unahisi hutopata ka yy au ulkua umewekeza Sana kwake both emotionally en financially!
Pole sana,nafeel unavyoumia salama yako mpotezee tofauti na hivyo mwisho wenu au wako Ni mbaya.
KUBALI MAPENZI YAMEISHA NA USIWEKE TUMAINI KWAMBA ATARUDI
NIGGA MOVE OON!!!
 
Back
Top Bottom