litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 731
- 1,378
Nimeifosi akili yake,mishipa na mwili wake ajiandae aelekee club na ampigie simu mtu rafiki ake wa kike.
Ameshakwenda club Y na naona madume wakware yameshaanza kummemdea na kumkonyeza.
Naumia ila napiga moyo konde. Matokeo ya hichi nikifanyacho ni mazuri mno.
Namuona jamaa amefika kukaa kwenye meza yao. Nimemuamuru amuwekee ngumu asilete mazoea naye.
Lengo ni ili niufahamu mtandao wake wote wa wanaume ili nidili nao. Rafiki ake hachoki kumuuliza maswali ie "jamani G unaumwaa? Mbona sikuelewi elewi leo"?
Hajui kuwa leo siyo akili yake bali ni mimi mumewe nipo ndani yake kiroho.
Anyway acha inyeshe nione panapovuja.
Hapa natype kupitia mke wangu ila naficha ficha simu ili rafiki ake Suzy(sio jina halisi) asione ID yangu na asije akapata mashaka ya ninachoandika.
Nataka nijue mbivu na mbichi. Na hii ni club ambayo anapenda sana kuja thats why nikaamua nije hapa. Nitajua kila kitu.
Nitaleta mrejesho lengo ni kuwaonesha watu namna hii sayansi inavyo function. Pia kukomesha vitendo vya usaliti na kufundisha wanaume kua mke wa mtu ni sumu.
NB: Yeye mke wangu anajua nipo kazini na nilifanya kusudi kumdanganya kuwa nitachelewa kurudi leo.