Nimemaliza utata kuhusu boeing

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Idadi ya Boeing 787
Number
Testing Complete 3
To be assembled in Everett 181
To be assembled in Charleston 139
Parts Arriving 6
Undergoing final assembly 7
Storage 0
Storage/Change Incorporation and Re-Work 0
Change Incorporation and Re-Work 1
Pre-Flight Prep 8
Production Testing 7
Non Customer Flight Tests 3
Ready for Delivery 3
Donation 3
Delivered 541
TOTAL 902
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Idadi ya Boeing 787
Number
Testing Complete 3
To be assembled in Everett 181
To be assembled in Charleston 139
Parts Arriving 6
Undergoing final assembly 7
Storage 0
Storage/Change Incorporation and Re-Work 0
Change Incorporation and Re-Work 1
Pre-Flight Prep 8
Production Testing 7
Non Customer Flight Tests 3
Ready for Delivery 3
Donation 3
Delivered 541
TOTAL 902

.....umeleta utata!!!
 
Asante kwa data hizo ila ungeweka link.
Total 902
Delivered 541 = L1 to L541
Undeliverable 361= L542 to L902 (ours is L719)
Change incorporation & re-work 1 (Zitto's kick)
ww kweli Dr aisee umechambua vzuri yap kwa iyo yetu ni 719 safi
 
Kama hatujapigwa basi watu wetu wa ndani waepiga hizo za juu bei ya ile mibovu ni 99m tu sisi kama tumelipa 220m basi hapo ndipo tulipopigwa.......na kuliwa cha....
 
Kama Bashite kachemka kutoa vyeti mkulu atatoa risiti za terrible twins?
Ligi inaanza,utatoa hutoi!
 
Kama hatujapigwa basi watu wetu wa ndani waepiga hizo za juu bei ya ile mibovu ni 99m tu sisi kama tumelipa 220m basi hapo ndipo tulipopigwa.......na kuliwa cha....
Aisee tumeuziwa usd 220 million? Aaa!!Kama hawajatoa ela basi Tusubiri tununue za warusi MC-21. Hizo za warusi ndege mmoja ni karibu usd 80 million, kwa huo mkwanja wa ndege moja ya boeing tungepata mbili na vile vidogo vya watu kumi na change ingerudi. Aiseee! Ebu wastue hao wanaoshughulikia manunuzi.

NDEGE MPYA: Russia wanatengeneza MC-21, Tanzania Tujiaandae kununua
 
Back
Top Bottom