Japokuwa plasta imefanywa chini ya kiwango, lkn huo ufa hautokani na plastaHivi karibuni (kama miezi minne iliopita) nimemaliza kupiga plasta, nilimwagilia maji vizuri kwa siku nane nashangaa leo nmetembelea site nmekutana na nyufa hizo.
Je, is it very fatal?
View attachment 2409490
Kuskim ufa Ni sawa na kujilisha upepoNadhani huo ufa umetoka kwenye msingi na hapo ni wire mesh tu ili kuziba usionekane kwenye macho ya watu ila ukisema uskimu utapiga mpaka uchoke lazima ujirudie.
Unatokana na nyumba kujiweka sawa.unatokana na nn mtalam
Vipi wale wanaoweka wire mesh au kipande cha gunia na kuchapia na cement kali? Imekaaje kitaalamu?Nyufa za kwny madirisha Ni za kawaida Sana, inasababishwa na kutanuka na kusinyaa kwa chuma au mbao ya Hapo kwenye dirisha.
Ufa huu unakuaga mmoja TU na Unaweza kushuka Hadi kwenye msingi, ila Hauna madhara kweye nyumba Maana uwa Ni wa juu juu TU kwenye iyo simenti ya plasta na sio tofali.
Cha kufanya:
Tindua hapo kwenye ufa, Kisha Chukua kipande Cha Nondo au waya pachika kuziba ufa na Kisha chapia kwa simenti Kali.
Inakua imeisha
Nimeipenda hii ya pili ya kuweka wire mesh wanaiwekaje hiyo mkuu?Iko hivi! Siku hizi mafundi ujenzi wanajenga halafu wanaacha ufa katikati ya kila dirisha kwa ajili ya nyumba kupumua.
Wakati wa plasta ni lazima kuweka waya meshi katikakati ya huo ufa. Tofauti na hapo lazima ufa utatokea tu ukipigwa plasta
Kwa ajili ya Nyumba kupumua....!?Iko hivi! Siku hizi mafundi ujenzi wanajenga halafu wanaacha ufa katikati ya kila dirisha kwa ajili ya nyumba kupumua.
Wakati wa plasta ni lazima kuweka waya meshi katikakati ya huo ufa. Tofauti na hapo lazima ufa utatokea tu ukipigwa plasta
Inatumika misumali ya inchi 6 badala ya nondoNyufa za kwny madirisha Ni za kawaida Sana, inasababishwa na kutanuka na kusinyaa kwa chuma au mbao ya Hapo kwenye dirisha.