Nimelipitia faili la Pandora sijawaona Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete wala Magufuli. Hata Mbowe hayumo Tanzania ni safi!

Wewe uliandika lini jambo lako likaeleweka? Sana labda kushabikia issues za Ufipa tu
Kwani wewe unayeshabikia issue za lumumba na kuendekeza kuramba miguu chakubanga unapata nini?
 
Hata kama ufisadi upo lakini haujafikia viwango vya kutisha kama tulivyoona kwenye lile faili la Pandora.

Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kujivunia.

Mungu ni mwema wakati wote!
Tatizo, heshima ya kimataifa, haifuati vigezo vyako. Tonny Blair ametajwa na hapa kila siku anakuja kumshauri Samia na tunajivunia kumtaja eti ana mazumngumzo na rais. Umaskini wetu wa mawazo na akili na mali ndo unaotuweka kwenye kundi bovu.

Mawazo ya Nyerere yalituweka kundi la juu kuliko hawa wezi wetu.
 
Kweeeeriiiiii kabisa
 
Kunywa dawa Bwashee acha KUKURUPUKA, ukweli kuhusu majizi na mafisadi ya maccm wote tunaujua.

Hata kama ufisadi upo lakini haujafikia viwango vya kutisha kama tulivyoona kwenye lile faili la Pandora.

Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kujivunia.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
pandora ingepitia vyama vilivojilimbikizia ubabe,mali,pesa na madaraka ingekuwa safi
 
Hata kama ufisadi upo lakini haujafikia viwango vya kutisha kama tulivyoona kwenye lile faili la Pandora.

Heshima ya Tanzania kimataifa ni ya kujivunia.

Mungu ni mwema wakati wote!
Dogo umemsahau list of shame,
Nasikia dr. Slaa yuko kitaa kitambo lakini kimya kimya
 
Tanzania hakuna wizi ni udokozi tu huu nafikiri pia ni kwasababu ya thamani ndogo ya currency yetu. Kenya ni balaa
Tanzania tuna wadokozi wa vijisenti,sidhani kama mtu anaweza kuiba USD 500,000,000 na nchi isitikisike, miamba ya Pandora Papers imeiba na kuhifadhi kuanzia USD 50,000,000 wakati sisi wanavijisenti vya USD 1,000,000 ambazo hata Vunjaprice wetu anazo.
 
Back
Top Bottom