!! Nimelimwa Notes: Mke wangu analipuliza !!

Starehe hiyo kama zingine,,, nipe no zangu tuwe tunalivuta wote.
 
Umenikumbusha mtoto wa jirani alipiga bangi hadi akalazwa kwenye wodi ya vichaa pale muhimbili. tukaenda kumtembelea siku moja, na alikuwa anadai yeye havutagi bhangi, nikiwa namtania, nikamwambia ''vipi mzee hicho kilikuwa cha wapi? akaniangaliaaaa, ''hamna braza, kilikuwa cha arumeru magharibi'' nilicheka hadi mbavu zikauma, kipindi hiko ndo Chadema imeshinda arumeru. Bhangi bhana.
 
Ndiyo mkeo huyooo,hameni tu muwaachie nyumba yao hiyo weed mkai"smook" mbele ya safari
 

Kwani we ulikutana nae wapi huyo the wife mpaka ukamuoa?
 
Mkuu Uruguay mtapata tu nyumba nzuri za kupanga...na 'your beautiful wife' ataendelea kusmoke wood kwa raha zake! Lakini lemme ask kwani kwenye mkataba wenu wa upangaji kuna kipengele kinachokataza mpangaji kukoka weed?
 
Marhaba kijana hujambo? mimi kaka yako nimeshindwa kuelewa hayo maandishi ya rangi nyekundu

Sijambo braza, hahahah! Hapo kwenye nyekundu hata baba mwenye nyumba ameshindwa kupaelewa.
 
Kama na wewe huvuti ndumu lazima wife atakuwa anakupelekesha sana kwenye 6*6. Maana hiyo ni bonge ya kiagra
 
Starehe hiyo kama zingine,,, nipe no zangu tuwe tunalivuta wote.

I swear kama ungekua jirani au shoga yake ningesema wewe ndio unamshauri maana majibu yake ndio kama yako.
" Hii ni starehe kama starehe zingine na wewe ukitaka vuta".
Btw mi sina neno.. tatizo mimi najifanyaga ticha nkirudi kwenye mishe zangu huwa kuna madogo wa advance nawapiga kitabu.
 
Kwani we ulikutana nae wapi huyo the wife mpaka ukamuoa?

ndio maana nikasema ni long story sema nimeifupisha
Btw Huyu alikua mpangaji mwenzangu nilivyokua college maeneo flani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…