basi usiwe na shaka ndg yangu, kwa kuwa ulisema ukweli, ninaamini kuwa hata MUNGU wako pia atakuwa ANAKULINDA. ila ninasisitiza tu kuwa wewe hudhuria hicho kikao ili kutoa suspicuios kwamba ni wewe ndio uliyesema hbr hizo. Pole sana mama asikuumize kichwa huyo ...!
heshima yenu wana MMU
hapa nilipo kichwa kimenivurugika naomba ushauri wenu na faraja pia.
ni hivi ninaishi nyumba moja na jamaa na mke wake (ni wakurya). ni mwaka na miezi kama kumi hivi mke hayupo yupo jijini Nairobi kimasomo. sasa tangu mke ameondoka jirani yangu kaleta msichana mwingine anaishi naye kama mke na mume. miezi sita iliyopita mke alinipigia simu na kuniuliza kama mumewe anaishi na mtu kwani amebadilika sana na mawasiliano yanasuasua, mimi nikamjibu kwamba mimi niko bize sana si rahisi kujua anavyoishi. wiki moja baadaye akanipigia tena kunisihi nimwambie ukweli kwani amepata taarifa kwamba mumewe anamsaliti. mimi nikamwambia niko safarini hivyo sijui kinachoendelea.
kwenye mwezi wa kumi hivi alinipigia tena simu kuniuliza hayohayo mi nikamwambia kama anahisi chochote aje mwenyewe ajiridhishe na nikakata simu. leo asubuhi kanipigia na kunisimulia namna anavyopata shida huko chuoni kwani mumewe amekuwa mgumu kutoa huduma, kiasi kwamba anashindwa hata kurudi likizo kwani hana hata nauli na taarifa alizonazo ni kwamba mumewe anaishi na mtu ila mtu aliyemwambia hamuamini sana kwani ni mwanaume ambaye huwa anamtaka. basi nikaingiwa huruma kubwa nikajikuta namwambia ukweli kwamba kuna mtu anaishi naye. ila nikamuonya asinitaje coz sitaki matatizo.
kumbe baada ya kuongea na mimi tu akampigia mumewe na kumwambia kwamba anavunja ndoa.
sasa huyu jirani anahisi mimi ndiye niyemwambia na amenipigia simu (akiwa anatetemeka kwa hasira) kuniuliza kama nimeongea na mke wake. mi nimeruka kimanga, amedai anakuja tuongee vizuri jioni.
mimi nimeamua sitaki kukaa hicho kikao. na nimepanga kuzua safari coz naogopa kupigwa panga.
wenzangu mnanishauri nini?
KUMBUKA: TUKIO LIMESHATENDEKA LAWAMA HAZITANISAIDIA KWA SASA.
cc Sista Kaizer Heaven on Earth mwekundu Munkari charminglady gfsonwin 'Valentina' Mapi Mkoroshokigoli farkhina na wadau wengine
haa haaa haaa yaani hapa hapanifai tena anaweza kunidhuru hata hapo baadayewewe hapo huna kosa wangu,.................ku cheat a cheat yeye majanga akuangushue wewe,mkomalie tena muambie tuheshimiane mambo ya kwake yeye hayakuhusu thats all!!!LAKINI DAH........INACHEKESHA TEH TEH TEH KULINAWA PANGA LA MKURYA HIVIHIVI
KESHO ASUBUHI NA MAPEMA NAKU PM..........UNIAMBIE VIPI UMESALIMIKA NA PANGA?KAMA VIPI TOA TAARIFA KABISA POLISI MAPEMAAAAAAAAAAAA!!................SI UNAJUA KINGA NI BORA KULIKO TIBA?
Ukome kuingilia ndoa za watu. Subiri hilo panga litue kwenye oblangata yako, pengine utapunguza tabia za umbeya.
Aise mi mwenyewe nmekusahau,rudisha ile banaaaa...
sasa nikikataa halafu huyu mkewe akanitaja hapo baadaye. duuuh nipo njia panda
Nini kinamfanya akuhisi wewe..???
We kaa hicho mkikao kwa sababu utazuga leo lakini kesho upo, na vile vile kukimbia kikao ndo kutampa uhakika kwamba wewe ndo umesema..
amenihisi nadhan kwa sababu tunakaa nyumba moja. halafu hatuna mazoe sana na majirani wengine.Nini kinamfanya akuhisi wewe..???
We kaa hicho mkikao kwa sababu utazuga leo lakini kesho upo, na vile vile kukimbia kikao ndo kutampa uhakika kwamba wewe ndo umesema..
Nini kinamfanya akuhisi wewe..???
We kaa hicho mkikao kwa sababu utazuga leo lakini kesho upo, na vile vile kukimbia kikao ndo kutampa uhakika kwamba wewe ndo umesema..
Nini kinamfanya akuhisi wewe..???
We kaa hicho mkikao kwa sababu utazuga leo lakini kesho upo, na vile vile kukimbia kikao ndo kutampa uhakika kwamba wewe ndo umesema..
ahsante kwa ushauri lakini kinachonikwaza hasa ni usalama wangu hapo kikaoni. huyu bwana hata mke wake huwa anampiga sana tena kuna siku alitaka hadi kujiua kutokana na vipigo
Ahaa,,kumbe ni wewe ,nilijua tu kuwa utamwambia mke wangu,sasa dawa yako naitengeneza huwezi kunivunjia ndoa nitahakikisha nakula nawe sahan moja,,ama zangu ama zako.