Nimelikoroga

Ukisikia ufataani ndio huo.

Kiranga komo. Iwe fundisho kwako na kwa wengineo. Siku nyingine funga macho, mdomo na masikio kwa yasiyo kuhusu.

Umelikoroga sasa linywe.
 
ahsante dada yangu wa kindoa, wacha nione jion itakuwaje
 
Ukisikia ufataani ndio huo.

Kiranga komo. Iwe fundisho kwako na kwa wengineo. Siku nyingine funga macho, mdomo na masikio kwa yasiyo kuhusu.

Umelikoroga sasa linywe.

haa haaa dada FaizaFoxy kukosea ni ubinadamu. we learn through mistake, naomba ushauri bana maana huyu jamaa nawasi wasi asije fungua bucha bana.
 
Wewe mwambie kuwa hata wewe kakupigia simu kakuambia ameambiwa mme wake anaishi na mwanamke ukamjibu wewe hujui. basi
 
....NTAKUGECHAAAAA...

..aliye masomoni amemic KUPIGWA MAKOFI ndo maana akaanza kuwa na mashaka, mwanamke wa kikuria bila kupigwa haoni raha ya kuwa na huyo mwanaume
 
We nae unakiherehere kaone kwanza

sio kiherehere ndugu yangu, nilijitahidi sana kutojihusisha na mambo yao. muda mwingi nakuwa nimejifungia ndani kwangu, lakini ndio hivyo yamenikuta
 
....NTAKUGECHAAAAA...

..aliye masomoni amemic KUPIGWA MAKOFI ndo maana akaanza kuwa na mashaka, mwanamke wa kikuria bila kupigwa haoni raha ya kuwa na huyo mwanaume

haa haa haaa inawezekana maana anamdundaga hadi kuna siku alitaka kunywa sumu
 
...hongera sana demba kwa kazi nzuri, lazima jamaa ajifunze kupata maumivu ya usaliti katika ndoa sio anamtesa mwenzake tu hata nauli hampi wakati yeye anakula bata,noo anakula uchafu.....
 
Wewe mwambie kuwa hata wewe kakupigia simu kakuambia ameambiwa mme wake anaishi na mwanamke ukamjibu wewe hujui. basi

ninachokiogopa hapa akirudi atakujaje? je atanipa nafasi ya kujitetea au ndio atakuja kamili na silaha zote.
 
DEMBA pole sana ila kiukweli mimi ninavyoona, kwanza HUDHURIA kikao hicho, ILA TU, kabla ya kufanya hivyo, mpigie simu mkewe na umueleze kuwa umeitwa katika hicho kikao na kwamba msomamo wako ni kwamba SIO WEWE uliyemwambia...just for the records...then kakae hicho kikao wakati wewe na mkewe mna kauli moja kuwa SIO WEWE uliyetoa hbr hizo, na umsihi sana huyo mke mtu asikutaje...pole sana mwaego!huyo jamaa ndio aliyelikoroga wala sio wewe shosti!
 
Last edited by a moderator:
...hongera sana demba kwa kazi nzuri, lazima jamaa ajifunze kupata maumivu ya usaliti katika ndoa sio anamtesa mwenzake tu hata nauli hampi wakati yeye anakula bata,noo anakula uchafu.....

mambo mengine ni kudhalilishana tu. kitanda unacholala na mkeo kulaza vidosho wengine jamani si laana hii.
 
Aise angalia tusikukose mwenzetu,, ila endlea kung'ng'ania uongo wako kwamba hujaongea na bibie,tena jifanye huelewi chochote wala huna mawasiliano nae mda mrf. Lakini wakati huo usiwe peke yako hakikisha uko na njembaz. Alafu mwambie dunia haina siri hii
 
ha haa, mambo ya mapenzi bana we acha tu, nakumbuka wakati huo nasoma UDSM kuna mwenzetu aliolewa na mumewe alikuwa hajatulia, sasa rafiki yetu mwingine akiwa boyfrend wake viwanja akakutana na yule mume wa rafiki yetu (shemeji) yuko na kabinti wanajivinjari..si akaja kumweleza shosti kuwa nimemkuta shemeji sehemu fulani yuko na msichana mwingine...mmmmmmmhhhhh varangati likazuka kati ya yule dada(aliyeolewa) na mume wake..ilikuwa vurugu hadi walipigana, yule dada baada ya kubanwa sana na mume wake basi akamtaja yule dada aliyemwambia zile habari(japo aliapa hatamtaja)..heee yule baba alimjia juu yule rafiki yetu alimtukana matusi mwanzo mwisho,( eti anataka kmvunjia ndoa yake) wakati ni kweli..
basi yule rafiki yetu aliyetoa siri alijuta kumwambia yule dada maana yeye ndiye aliyegeuziwa kibao na kuonekana mbaya(kwamba anataka kuwachonganisha na kuwaharibia ndoa yao)..alikomaje??
na sisi wengine tulijifunza kuwa bora kupiga kimya tu, hata umkute anafanya nini hakuna haja ya kumwambia hadi aone mwenyewe kwa macho yake maana ukimwambia zali linakugeukia wwe halfu wenyewe wanakuja kupatana..wakati nia yako ilikuwa nzuri tu lkn sasa unaonekana mbaya..
 

aliniahidi kwamba hatanitaja, sema sisi wanawake huwa hatuna siri, ipo siku atasema tu.
 

hilo ndio tatizo la wanawake, wanaume huwa hawaelezi source hata siku moja. hata umkate kichwa.
 
basi usiwe na shaka ndg yangu, kwa kuwa ulisema ukweli, ninaamini kuwa hata MUNGU wako pia atakuwa ANAKULINDA. ila ninasisitiza tu kuwa wewe hudhuria hicho kikao ili kutoa suspicuios kwamba ni wewe ndio uliyesema hbr hizo. Pole sana mama asikuumize kichwa huyo ...!
aliniahidi kwamba hatanitaja, sema sisi wanawake huwa hatuna siri, ipo siku atasema tu.
 

sasa nikikataa halafu huyu mkewe akanitaja hapo baadaye. duuuh nipo njia panda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…