Nimelikoroga

Hahahaha...tia timu kwenye kikao, hakuna haja ya kukimbia. Kwa vile mkewe hajamuambia ni nani kampa habari hizo, wewe endelea na msimamo wako wa kukomaa kwamba hufahamu chochote kuhusu hilo jambo na kwamba hujawahi kuongea na mkewe. BTW, tayati mkewe kishampiga kibuti, sasa hasira za nini? Si aendelee na huyo dogo dogo mpya? Mbona anakuwa na kiherehere bila sababu?
 
aruke kimanga kipi na amesharopoka humu. huyo mume hapajui jamii forum? au incidents kama hizi zimeshatokea saana?!?!

acha kumtisha mwenzio...huyo jamaa haijui jf wala nini, yeye anajua "kulenga" tu. Endelea kukomaa, vaa sura ya mbuzi kabisa bibie...hawezi kukufanya lolote bila kuwa na ushahidi jadidi.
 
Kuna wakati ukweli huwa hauna maana. Kama ukweli unabomoa badala ya kujenga basi haufai kusemwa.
 
kikao kilishafanyika na feedback nimeshaitoa, uzi wa feedback umo humu mmu
 
Kuna wakati ukweli huwa hauna maana. Kama ukweli unabomoa badala ya kujenga basi haufai kusemwa.

tunajenga nini kama mtu anakuwa anafanya vitendo viovu halafu tunamuacha, wanaomzunguka wanajifunza nini?
 
kuna boyfrend wa rafiki yangu ananitaka natamani kumwambia rafiki yangu ila naogopa wasije wakanigeuka wakanigeuzia kibao nimeamua kuchuna japo roho inauma kuona rafiki yangu anadanganywa.
 
kuna boyfrend wa rafiki yangu ananitaka natamani kumwambia rafiki yangu ila naogopa wasije wakanigeuka wakanigeuzia kibao nimeamua kuchuna japo roho inauma kuona rafiki yangu anadanganywa.
mwenzangu bora uache tu, kama kicheche mwisho wake utafika tu.
 

bora kuacha tu, kama mimi hapa mbona naweza badilishiwa kibao. ila mungu hafichi unafiki ipo siku mambo yanakuwaga hadharani.
 
 
 
Sasa anakununia nini wakati ni kweli anaishi na mwanamke yaani binadamu bwana kha!
 
Okay umefanya jambo la busara kusema ukweli mi naona we ubaki kwenye kikao jioni afu uangalie maongez ynyw yatakuwaje! Maana wakurya hataree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…