T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,805
- 46,730
Mkuu sidhani kama iyo iPhone ni OG maan wanadai fake iPhone inakuwa na ublue kwenye camera kwa nyuma
Sasa unakua umetupa nini? Wakati umepewa bure?Sawa mkuu, ngoja nipate ujuzi kwanza nisije nikakupa kwa bei ya kutupa sana.
Mpelekee shilingi 500 akuuzie, hivi akili zenu huwa zinafikiria nini?Sasa unakua umetupa nini? Wakati umepewa bure?
Usiumie sanaa jaribu ku handle vitu kam hivyo ni changamoto ambz kila mtu anakutana nazo so don't feel lonel together we areYaani acha tu Mkuu,kuna watu humu wanaanza kunitukana hadi MATUSI sasa sijui wapi nimewakwaza, anyway God knows.
Hii ni sample ya mijitu iliyojaa roho mbaya, Kitonga ndio nini?Ukipenda kitonga na misaada lazima uone watu wana Roho mbaya wasipo kidhi haja zako.
Nimeshawahi kununuwa simu fake Marekani, tena fekero kabisa bora hata simu za Agrey.hehehe bro marekani hakuna iphone 13 fake, soko la kule bidhaa ziko highly monitored..sio kama tbs kibongo..hiyo umepigwa na unajaribu kurudisha pesa kupitia mteja mwingine asie na ufahamu wa bidhaa za Apple.
Af unajikuta mjuaji..Karibu Mjini
Ninekutana nayo Jana Kama hii kariakoo ,inauzwa Laki tatu
Sijaiponda mkuu uwe na amaniYangu nimeuza elfu 15.
Wivu upi camera ya nyuma ukiaangalia lens zake unakata tamaaAnasema mna wivu
Hasa CCMWanajifunza kule, mijitu yenye roho mbaya inapatikana Africa hasa Tanzania.
Ukweli mtupuNiliwahi kuambiwa kitu cha zawadi hakifai kuuzwa.....
Hii simu ni fake...... atalizwa mtu hapaWakuu mwezi uliopita rafiki yangu alikuja kunisabahi kutoka Marekani - Washington, mbali na vitu vingi ameniletea pia zawadi ya IPhone 13 Pro Max, Gb 128.
Kiukweli, mimi sio muumini wa divice za Apple. Nilitaka kujua yafuatayo kutoka kwa wajuzi
Nikiamua kuiuza inaweza pata wanunuzi?
Naweza pata kiasi gani nikiiuza?
Ikiwa kuna yoyote anahitaji aniambie.
Location: Dar es Salaam
View attachment 2279122