Niambie mkuu ungekuwa wewe ungefanyaje? ukishapewa zawadi lazima umpangie mtu matumizi? me situmii IPhone napenda Sumsung na Xiaomi, nifanye? niiweke ndani niwe naiangalia?Imagine huyo jamaa anasoma huu uzi, sijui atatuchukuliaje watanzania!
🤣🤣🤣🤣 Bei ya kutupa wakati we mwenyew umetupiwaSawa mkuu, ngoja nipate ujuzi kwanza nisije nikakupa kwa bei ya kutupa sana.
Ahsante sana Mkuuswala dogo mchek bonny chengula ana duka
pale mwenge jiran na mataa ya itv
atanunua kwa bei nzuri
nilisha muuzia airpod kwa 180k
sikuwaza kama ningeuza vi earphone kwa bei hiyo
kwakweli.
nimeambatanisha mawasiliano yake
kwenye attachment.
View attachment 2279141
Tumeshaletewa copy alaf tunawasifia wanaotoka nje wana roho nzur we hujastukaHiyo bezel upande wa chini mbona nene sana [emoji15]
Ahhahaa na wewe umeona mkuu... uani imebidi niiangalie yangu mara mbilimbili hapa[emoji23] iphone 13 pro max plus ya buzaView attachment 2279145
Basi subiria hapa bei za kuambiwaAsante sana ila situmii Instagram mkuu.
Sawa fahamu hivyo hivyo, iwe ya Buza iwe ya Yombo, utajua wewe, sasa unazungushia duara mahali ilipo reflect taswira ya mikono yangu wakati napigia picha ili?akili zingine bhana[emoji848][emoji848][emoji16] watanzania, punguzeni ujuaji. Haya nionyeshe hicho ulichokiona hapo kwenye hii picha.[emoji23] iphone 13 pro max plus ya buzaView attachment 2279145
Afu copy copy kweliTumeshaletewa copy alaf tunawasifia wanaotoka nje wana roho nzur we hujastuka
Kaoza samaki mmoja(Alepewa zawadi) unatujumlisha wote? Unahisi wote humu tungeiuza hiyo simu kama tungepewa zawadi? Mkuu epuka sana kutoa mjumuisho.Imagine huyo jamaa anasoma huu uzi, sijui atatuchukuliaje watanzania!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kitu hata mie nimepata wasi wasi.[emoji23] iphone 13 pro max plus ya buzaView attachment 2279145
Sawa fahamu hivyo hivyo, iwe ya Buza iwe ya Yombo, utajua wewe, sasa unazungushia duara mahali ulipo reflect taswira ya mikono yangu wakati napigia picha ili?akili zingine bhanawatanzania, punguzeni ujuaji. Haya nionyeshe hicho ulichokiona hapo kwenye hii picha.View attachment 2279151View attachment 2279152
Nikuonyeshe copy? 😂Sawa acha iwe Copy, nionyeshe wewe hiyo copy?