macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 22,420
- 41,112
Kuna siku nilikuwa Ulaya, nchi fulani nikakuta kuna mjadala. Ulikuwa na wa nini? Walikuwa wameweka sehemu yenye vyombo vya udongo kama sahani, bakuli, vikombe na mtu anapokasirika anapata sehemu ya kwenda kutolea hasira zake kwa kuvunja vunja vile vyombo.Sawa nalifanyia kazi hili mara moja. Ila nachukia mno nikiudhiwa.