Nimelazimika kula nyama mbichi ya ng'ombe leo. Madhara ni yapi?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Kwema ndugu zangu? Mimi ndugu yenu nina shida ya hasira sana. Na hivi karibuni tatizo langu limezidi.

Leo ilitokea nilipata hasira sana baada ya kuudhiwa sana, mpaka nywele zikasimama na macho yangu yalikuwa na rangi nyekundu. Ili kutuliza hasira ikabidi nile nyama mbichi.

Nikafanya kila njia ili zipungue ila haikuwezekana. Kulikuwa na steak nusu kilo kwenye fridge.

Ikabidi nichukue nitafune yote pamoja na damu, huku ikiwa bado mbichi kabisa. Hapo angalau hasira zikapoa.

Siyo leo tu, hata siku za nyuma huwa nanunua nyama mbichi na kuiweka frijini. Nikiudhiwa na mtu kosa kubwa, hasira namalizia kwenye kula nyama mbichi frijini.

I'm quitely scared. Naombeni ufafanuzi wataalamu! Ahsanteni.
 
Mmh inatisha, jaribu kutafuta msaada wa kisaikolojia inaweza saidia kuepukana na changamoto hiyo.

Kula nyama mbichi kuna madhara kiafya hivyo usipendelee kula nyama hiyo.
 
Ahsante sana. Naumia mno kwa hali hii. Nikiudhiwa nakuwa hovyo sana.
 
Ungejpa mda kidogo ukaichoma ukawa na pilipl nying na chumv naamn ungeendea kilo nyingne ...
Control akil yako ipo sku itakugharimu ukiiendekeza kwamba ukiwa kwenye stuation flan mpka ufanye ktu flan ndio ue ok
 
Ahsante nitaufanyia kazi huu.
 
Kwema ndugu zangu? Mimi ndugu yenu nina shida ya hasira sana. Na hivi karibuni tatizo langu limezidi.

Leo ilitokea nilipata hasira sana baada ya kuudhiwa sana, mpaka nywele zikasimama na macho yangu yalikuwa na rangi nyekundu. Ili kutuliza hasira ikabidi nile nyama mbichi.

Nikafanya kila njia ili zipungue ila haikuwezekana. Kulikuwa na steak nusu kilo kwenye fridge.

Ikabidi nichukue nitafune yote pamoja na damu, huku ikiwa bado mbichi kabisa. Hapo angalau hasira zikapoa.

Siyo leo tu, hata siku za nyuma huwa nanunua nyama mbichi na kuiweka frijini. Nikiudhiwa na mtu kosa kubwa, hasira namalizia kwenye kula nyama mbichi frijini.

I'm quitely scared. Naombeni ufafanuzi wataalamu! Ahsanteni.
You are mentally ill. Nenda kwa psychologist atakusaidia. Najua kuna wengine watasema una pepo mchafu, kwanza nenda kwa psychologist ikishindikana ndo uende upande wa pili
 
Kwema ndugu zangu? Mimi ndugu yenu nina shida ya hasira sana. Na hivi karibuni tatizo langu limezidi.

Leo ilitokea nilipata hasira sana baada ya kuudhiwa sana, mpaka nywele zikasimama na macho yangu yalikuwa na rangi nyekundu. Ili kutuliza hasira ikabidi nile nyama mbichi.

Nikafanya kila njia ili zipungue ila haikuwezekana. Kulikuwa na steak nusu kilo kwenye fridge.

Ikabidi nichukue nitafune yote pamoja na damu, huku ikiwa bado mbichi kabisa. Hapo angalau hasira zikapoa.

Siyo leo tu, hata siku za nyuma huwa nanunua nyama mbichi na kuiweka frijini. Nikiudhiwa na mtu kosa kubwa, hasira namalizia kwenye kula nyama mbichi frijini.

I'm quitely scared. Naombeni ufafanuzi wataalamu! Ahsanteni.
Ukoo wa zombie
 
Sawa nalifanyia kazi hili mara moja. Ila nachukia mno nikiudhiwa.
Ndo maana nikasema nenda kwa psychologist, umuelezee vizuri kama ulivoelezea humu, muambie chanzo ni nini, then atakusaidia bro. Ila ukiona imepewa prescriptions hazijakusaidia basi you are demon possessed, hapo utamhitaji Yesu akutoe hicho kitu .
 
Back
Top Bottom