Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

Bible ipi hiyo inayohalalisha mchepuko kuwa mke?

unajua kisa cha Yakobo kumlaani mwanae Reuben? Reuben alifanza uasherati na msichana wa kazi ambaye alikuwa amezaa na babaye. Huyu mdada hakuwa mke lakini baba alishafunua nguo kwa hiyo Reuben alitakiwa kuheshimu hilo. Kosa moja halihalalishi lingine. Ila kama hiki kisa ni cha kweli basi kuna haja ya kuandamana kama warundi Yesu arudi.
 

If you read the whole thread, sijatukana, ila umekuja na kuanza kuita watu wanawake mara wataolewa mara blah blah

And its not i cant bad mouth you... its just a waste to do that

counting 59 people who commented, well this is funny... show me the substance
 
Kama wewe unaifahamu biblia, bila shaka unatambua kuwa dunia ya sasa haiishi nyakati ulizozitaja...

Hivyo usiitumie wala usitumie maandiko isivyopaswa...

 
yahelekea wewe ni mpagani, maana kama wewe ungekuwa mcha MUNGU basi ungejua kwamba kulala na mwanamke ambaye baba yako ana mahusiano naye ni LAANA​ ambayo itatafuna ukoo wenu mzima,
 
uko Kama baba yako mkuu huwezi kuchange wewe.

Kaendeleze tabia ya ukoo tuu
 
Kama wewe unaifahamu biblia, bila shaka unatambua kuwa dunia ya sasa haiishi nyakati ulizozitaja...

Hivyo usiitumie wala usitumie maandiko isivyopaswa...

kama nakumbuka vizuri uliuliza ni bible ipi inayohalalisha mchepuko kuwa mke. Nilipokupa mfano wa yakobo na reuben na msichana wao wa kazi ni katika kuonyesha kuwa mwanamke yeyote awe mchepuko, suria au chochote..maadam baba yako ameshafunua uchi wake basi si vizuri mtoto nae kufunua. Mtu kutumia neno mke kumaanisha mchepuko hakuondoi dhana ya mtoto na baba kutokushea mwanamke. Dhana itabaki pale pale. kama baba amemuita mchepuko "mama mdogo" wa mwanae basi huyo mwanamke ana hadhi hiyo kwa wahusika. Kwa hiyo biblia nimeitumia ipasavyo kama si kama kitabu kitakatifu basi kama kitabu cha historia ya visa vya kweli ambavyo tunaweza kujihusianisha kwacho. Hata kama nyakati na jamii ni tofauti binadamu ni yule yule jana, leo na kesho.
 

Well, am withdrawing my abusive language, I do apologize
Kauli yangu ni kuwa Kama umeona thread ya mtu ni ya uongo basi fanya uungwana tu kwa kupita maana kuna mwingine ameiona ni ya kweli na akachukua muda wake kushauri
Ukikuta watu 50, 130++ wapo busy kumshauri mtoa mada then anatokea MTU anasema ni ya uongo hata mtoa mada hujisikia vibaya

Thread imetazamwa na watu 4000 wachangiaji labda 70 maana yake ni kuwa kuna maelfu ya wans jf wame view Uzi na kuona ni Wa uongo na kupita tu
Hatupo 100% certain kama Uzi Wa mtu ni Wa uongo anajua yy mtoa mada mwenyewe

Janjaweed kumwambia mtu Uzi wako ni fiksi ni provacation
Hakuna tofauti na mm niliekutusi
Sipingani nawe ila tuwe objective katika conclusion zetu
 

mleta mada anaitwa bileku mpasi ... wewe provocation imekuhusu vipi
 
Last edited by a moderator:
mleta mada anaitwa bileku mpasi ... wewe provocation imekuhusu vipi

Nimesema umeni provoke mm??
Read my statement again
Kwangu mm hii tabia sio nzuri
Na ndio maana naikemea maana sasa hivi kuna tabia imeibuka kila post ikirushwa mtu from nowhere anasema ni ya uongo
Maana yake ni kusema kuwa sisi wachangiaji ni wajinga hatukuona uongo huo
 
Last edited by a moderator:
soma post yangu, nimeuliza provocation IMEKUHUSU vipi
 
dingi yako sasa anajuta kuhama nyumbn na kuingia kwa uyo mchepuko ambaye ana HIV+, na ww ndyo unadhan umepata? wote mmeuvaa, na wala hamtawaambukiza wake zenu ktk Jina La Yesu Kristo, Kwan Neno La Mungu Linasema "roho Itendayo Dhambi Ndiyo Itakayokufa"
 
soma post yangu, nimeuliza provocation IMEKUHUSU vipi

Kwani mjadala hapa jukwaani ni binafsi?
Ndio maana post inaletwa jukwaani, unauliza jibu?
Kama nimeguswa nachangia
Kama nimeona unapotosha lazima niseme
Ndio interaction yenyewe hiyo
Kuna mtu amekwambia hukusoma vizuri post mbona hukumuuliza anahusika vipi?
Get the masage
 
Mwambie baba yako ukweli,kuwa mtoto mtamu.atakuelewa
 
Umeona mama yako alivoumizwa na baba yk mpaka anaumwa so na wewe unamumiza mkeo kwa ujinga Ule Ule aliofanya baba yako. Pyuuuuuuuu
 

Nenda kanisani ukatubu kisha uache kabisa!!! Timbwili la baba cha mtoto
usiombe ungalianzisha timbwili na Mungu!!
 
we umeshindwa, baba kashindwa, mama kashindwa, mkeo kashindwa, Mungu hakutaki tena, Shetani naye anakuona siyo, lahaulaaaaaaaa sisi tuseme nini juu yako sheikh, labda uendelee tu mpaka utakapoweza mwenyewe, yani upo mwenyewe kwa sasa

ww wapi kakuambia yy ni sheikh.Huyo kwa mujibu wa maelezo yake ni ASKOFU au PADRE km unalengo la kuoanisha!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…