Nimelala na muathirika wa VVU

Nimelala na muathirika wa VVU

Habari Wana JF

Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano
Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea .

Kutokana na hakuna na mahusiano na ilikua usiku tulijikuta tumeshiriki tendo la ndoa ila hakukua na michubuko yeyote iliyotokea.

Jana nilimuomba tuonane tukionana barabaran ila kuna jamaa aliezaa nae alituona na alikua ananifahamu sababu Mimi na yeye nimarafiki ilasiokivile.

Jamaa alintafuta nakuniweka wazi kuhusu yule dada nakuniambia kua yeye amezaa nae ila baada yakumkuta na dawa walienda wote kupima yeye akawa mzima ila dada ndioakawa anao
Hivyo alinitahadharisha pamoja nakunionesha dawa zake alizomkuta nazo.

Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Unataka ushauri gani sasa! Wakati unauza mechi mbona hukuja kuomba ushauri? Halafu unaogopa HIV kana kwamba hutakufa? Acha ujinga.

Kwanza kuna ARV's za bure. Hivyo ukizingatia masharti, utaishi miaka mingi.
 
Inatakiwa nikae siku ngapi iliniweze kwenda kupima??
 
Habari Wana JF

Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano
Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea .

Kutokana na hakuna na mahusiano na ilikua usiku tulijikuta tumeshiriki tendo la ndoa ila hakukua na michubuko yeyote iliyotokea.

Jana nilimuomba tuonane tukionana barabaran ila kuna jamaa aliezaa nae alituona na alikua ananifahamu sababu Mimi na yeye nimarafiki ilasiokivile.

Jamaa alintafuta nakuniweka wazi kuhusu yule dada nakuniambia kua yeye amezaa nae ila baada yakumkuta na dawa walienda wote kupima yeye akawa mzima ila dada ndioakawa anao
Hivyo alinitahadharisha pamoja nakunionesha dawa zake alizomkuta nazo.

Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Acha ufala kwani kondomu hakuna?

Kama kama kila mwenye ukimwi hapaswi kuwa na mpenzi ambaye hana maambukizi basi kusingekuwa na sero discordant couples.
 
Habari Wana JF

Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano
Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea .

Kutokana na hakuna na mahusiano na ilikua usiku tulijikuta tumeshiriki tendo la ndoa ila hakukua na michubuko yeyote iliyotokea.

Jana nilimuomba tuonane tukionana barabaran ila kuna jamaa aliezaa nae alituona na alikua ananifahamu sababu Mimi na yeye nimarafiki ilasiokivile.

Jamaa alintafuta nakuniweka wazi kuhusu yule dada nakuniambia kua yeye amezaa nae ila baada yakumkuta na dawa walienda wote kupima yeye akawa mzima ila dada ndioakawa anao
Hivyo alinitahadharisha pamoja nakunionesha dawa zake alizomkuta nazo.

Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwanza demu huyo anaoneka anatumia dawa zake vizuri maana yake anakuwa viral load ndogo kwenye mwili wake un detectable .... ndo maana bwana wake wa kwanza alitembea nae hakupata ukimwi so hata wewe nakupa 80% hautapa ukimwi sababu ya dalili za huyo dada kufuata masharti ya kutumia dawa zake vizuri

Note: chance ya kuugua na ukimwi hapo ni ndogo sana
 
Nb:- Acha hofu kijana. Hujapata maambukizi. Imagine wewe umecheza rafu moja tu umepagawa! Mimi Mzee wako hapa niliwahi kucheza michezo hatari kama hiyo zaidi ya 1000 na bado nilitoboa.
Wakati mwingine kutoambukizwa kunategemeana na vinasaba vya mtu. Kuna watu wana CCR5- Delta 32 gene. Hawa HIV haiwezi kuwapata, hasa wale waliorithi vinasaba hivi kutoka kwa wazazi wote wawili.

Kwa hiyo siyo wote wenye bahati ya kubusu mdoma wa mamba na kutoka salama.
 
Pole sana mkuu
Dawa za kujilinda huwa ni ndani ya siku tatu uwe umeshakunywa, tofauti na hapo labda iwe hamkuchubuana.
Kama ni mtumiaji na anafuata matumizi sahihi ya dawa ya ARV huyo dada hataweza kumbuambukiza huyo jamaa maana kwa matumizi sahihi virus hufubaa na kukosa nguvu. Cha msingi akapime tu ili ajue afya yake hata sasa hivi.
 
Ni ngumu sana mkuu, watu tushatindua kavukavu migoma ilomeza ARV zaidi ya miaka 20 na bado tupo positive.
Statement yako na conclusion yako kama zinapishana mkuu? Embu rudia kusoma tafadhali
 
Naombeni ushauri zimeshapita wiki mbili nimepata hii taarifa namna yakutumia dawa zakujilinda nishachelewa je? nikae baada ya muda Gani ndionikapime na Mimi ili kujua afya yangu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwa kuwa muda wa kuzuia umepita na bado muda wa kupima haujafika, jaribu kufunga (kunjwa maji tuu) kwa masaa 72 (siku tatu).

Funga mara moja kwa wiki (funga na kunywa maji tuu kwa siku 3, kula na kunywa siku 4), kwa muda wa mwezi mmoja na hapo utakuwa umefunga jumla ya siku 12 ndani ya mwezi mmoja.

Hii itaufanya mwili wako upate nafasi ya kujisafisha, kuondoa seli zote zilizoharibika (including HIV infected cells) na kuiweka immune system yako katika hali nzuri.

Muda ukifika kapime upate mrejesho.
 
Wacha uwoga mtafute ushiriki nae tena upate uhakika
Inawezekana friend anakubania maana anajua Ex ni mzr kwa kitanda sasa anakutisha ili aendelee kula mwenyewe vtu vizur
 
Damu ya mtoto na ya mama havichangamani akiwa tumboni. Ndio maana blood groups zao zinaweza tofautiana. Damu zao huchanganyikana kwenye kujifungua, mama mwenye maambukizi hupewa dawa na uangalizi maalum ili asiambukize mtoto wakati wa kujifungua. Na pia mtoto huachishwa kunyonya mapema.
Mtoto anatakiwa aachishwe baada ya muda gani exactly ili asiathiriwe?
 
Back
Top Bottom