Nimekwisha na UKIMWI

Pole sn kaka,tulia na ongea na wataalamu.
Jambo unalohisi si dogo,Ni kubwa sn.
Hebu fikiria mie tangu juzi tu hapa sipo OK kisa rafiki yangu yani msela alinipasulia wazi kuwa tayari ana tatizo.Nimewaza sn, na nimeumia sn.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweeh mweeh mweeeh!!!! Be strong mkuu ukute wewe ni mmoja wa lile group la damu ambayo hawaambukizwi HIV

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Daha nimeumi Sana but Mungu akupe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwako jaribu kurelax usipanic tuliza akili kwanza
 
Tulia kwanza matatizo ya operation yaishe usahau kidogo jitahid kujichanganya kwa watu,,,pili kupata ngoma ni process ndefu inategemea na frequency ya sex,,usaf baada ya singe sex,,anatomy ya vagina,kias cha maji kwenye k ya dem,,pia uimara wa ngoz yako on penis,,,kwanza huyo dem immunity iko vizur kuish miaka yote hiyo bila dalili ni Bahat,,,mkuu uwezekano wa kuwa na ngoma ni 50%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama nimekuelewa vyema kwenye heading hapo juu ni kwamba tayari umekwishafanya mapenzi nae tena mna mtoto tayari..ushauri wangu sioni maana yoyote kuwaambia ndugu na marafiki kwani hiyo itaadhiri mipangilio iliyipo sasa ivi kuhusiana na ndoa..kwa vile hawana cha kufanya hata ukiwaambia naona usiwaambie kwa sasa ila baadae waweza ukafanya uamuzi wa kuwaambia(if necessary)
 
Dah..... Dogo ukimwi si ugonjwa..... Ni upungufu tu wa kinga mwili.....kuna mwanaNBA mmoja tangu napata akili alisema ana ngoma....hadi leo anadunda[emoji13] [emoji13] [emoji41]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Mkuu kuna bro wetu mkewe alianza kufanya umalaya akimkomoa bro bt at the end alipata hiv wakat bro hakupata tumechek hospital more than 8! Its two years yuko negative nakuomba mungu akujalie na wew sio kosa lako!
 
Uwoga wa nini?kamu una upungufu wa kinga tafuta namna ya kuziongeza, unawaza nini na mtu mwenye kisukari afanye nn? Ukimwi siyo tishio tena kwa dunia ya sasa
 
Ngoja nikuambie ndugu, Ukimwi upo na unasababishwa na lishe duni tu pamoja na matumizi mabaya ya mwili kama Pombe, ngono nyingi, na baadhi ya dawa za hospitali ukizitumia unapata Ukimwi.
Kweli hii ndio JF, kuna wataalamu wa kila aina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…